miaka saba ama nane nyuma niliwahi kuona msafara wa IGP MAHITA, akitokea Ukonga [kwenye nyumba ndogo ama bi mdogo, ama mke mdogo......sina hakika, ila jirani zake wanajibu.]
alikua anaongozwa na magari mawili mbele ya POLICE, na mbele kabisa kulikua kuna Pikipiki ya KING'OLA, kisha kushoto kuna gari lingine linatembea usawa wa lile la IGP.
NYUMA KUNA land rover 110, INAPOLICE WENYE SIRAHA, anaelekea makao makuu ya POLICE hapa DSM.
hali hii aliendelea nayo mpaka Bunge nafikiri lilimkemea.
Juzi nikakutana Mkuu wa Majeshi Tanzania Ndugu Mwamunyange, ALIKUA kwenye Shangingi LAND cruiser GX , akitokea Kawe, anakokwenda sikujui maana ilikua ni kama saa kumi jioni, alikua yeye , Dereva wake , mLINZI WAKE SITI YA NYUMA.
mbwembwe za wakuu zinaashiria , vituko, kupenda mamlaka, kutokutenda haki, wizi wa mali ya UMMA, kuwasaliti wezi wenzao, either kwa nia njema , ama kwa nia za kifosadi.
kwenye nnchi kama hii , ambayo mzee Mwinyi[Rais Mstaafu] anaweza kutembea mitaani akiwa na bakora yake, na kusiwe na wakumdhuru, sasa Muombe Che Mkapa akatishe mtaawa Kongo kwa miguu, kama wamachinga hawatamtenda, ama aende Pemba , bila walinzi lukuki, akakione kilichomtoa kanga manyoya.
"........mkiona tunajiongezea ulinzi mjue Tunawaibia...." JK Nyerere.