Umetumia nini kuondoa hivyo visikinimechukua chakwenda nisaidia pale kwenye pori langu. shukrani mleta uzi na wachangiaji wote
Umetumia nini kuondoa hivyo visikinimechukua chakwenda nisaidia pale kwenye pori langu. shukrani mleta uzi na wachangiaji wote
Itachukua muda Gani kuona matunda ya hiyo chumvi juu ya kisiki.Weka chumvi ya kutosha juu ya kisiki kilichobaki wewe mwenyewe utashangaa
wewe weka chumvi ndiyo suluhisho, sasa hivyo vijiko vingapi vya nini?Itachukua muda Gani kuona matunda ya hiyo chumvi juu ya kisiki.
Na kila kisiki unaweka kijikiko kikubwa vingapi??
Asante sana Nduguwewe weka chumvi ndiyo suluhisho, sasa hivyo vijiko vingapi vya nini?
Fanya makisio ya kusambaza pale juu ya kisiki na hii itasaidia kukausha mizizi.
Muda unategemea ukubwa wa mti. Mimi miti yangu yote niliyokata nimeweka chumvi imekufa lakini nilikwa sihesabu siku
Round up ukipata super round ndio nzuriSamahani kwa kuingilia uzi wako mm nauliza dawa gani ya kupiga kwenye nyasi ili zikauke baadae nizichome moto
Sent using Jamii Forums mobile app
For every Im diameter kisiki , weka kilo moja; so for a half meter diameter kisiki, half a kilo; in that ratio and so on...Itachukua muda Gani kuona matunda ya hiyo chumvi juu ya kisiki.
Na kila kisiki unaweka kijikiko kikubwa vingapi??
Asante sana NduguFor every Im diameter kisiki , weka kilo moja; so for a half meter diameter kisiki, half a kilo; in that ratio and so on...
UBARIKIWEAsante sana Ndugu
Tupe mrejeshoUBARIKIWE
unachimba kaka bila shaka sema gharama tuuHata mie visikiHata mie visiki vinanisumbua sana, siyo rahisi kung'oa visiki kwa kuchimba kimoja kimoja hasa kwa shamba kubwa, bila shaka uzi huu utanisaidia pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii code naibeba mkuu,,naona kuna watu wamedhamiria kunipiga shambani kwnguFanya hivi, chukua maji yawekee chumvi then loweka misumari ya 5" au 6" kwa usiku mzima, kesho yake gonga msumari mmoja kwenye kila kisiki vitakauka na kuoza kwa muda mfupi sana.
Hii ndiyo njia niliyotumiana inafanya kazi baada ya miezi kama mitatu. Visiki vyote vilikauka vikawa rahisi kun’goka na kuwa kuniWeka chumvi ya kutosha juu ya kisiki kilichobaki wewe mwenyewe utashangaa
Leta ushuhuda mkuuHii code naibeba mkuu,,naona kuna watu wamedhamiria kunipiga shambani kwngu
Vipimo vipoje? Kiasi gani kwa kila kisiki? Chumvi peke yake au unaweka na majiHii ndiyo njia niliyotumiana inafanya kazi baada ya miezi kama mitatu. Visiki vyote vilikauka vikawa rahisi kun’goka na kuwa kuni
Ipo nenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo utayapataSamahani kwa kuingilia uzi wako mm nauliza dawa gani ya kupiga kwenye nyasi ili zikauke baadae nizichome moto
Sent using Jamii Forums mobile app