Je, kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kua na mahusiano na binamu?

Tatizo unaposema "kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika" unaweza usipate majibu halisi maana mila na tamaduni zinatofautiana kati ya kabira na kabira
 
Kaka sijui kama umsomaji mzuri wa bibilia ila kuna visa vingi kutoka kwa jamii ya walioamini ambao walioa binamu zao. Mfano mzuri ni yakobo alieoa binamu zake wawili.. na tusisahau Yakobo ndio aliitwa Israel na uzao wake ndio uzao hata Kristo anapokuja kutokea..
Ila hio ni kiimani.. zaidi haya maswala ya ndoa yana pande nyingi sana si swala la imani yako tu.. ila jamii yetu ina mtazamo gani au desturi zetu ziko je hivyo ndivyo vitu natamani zaidi kufahamu kuliko kuhusu dini na ndoa
Usitake kuhalalisha na dhambi na kuikribisha laana kwenye familia yako.
Binamu ni dada kabisa na uo ukweli unaujua mama yake na baba yako wametoka kwenye tumbo na viuno vya wazazi wamoja..
Acha io kitu kijana.,Na hakuna mila wala desturi inayokubaliana na ilo jambo.
 
Miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana familia zetu yaani baba mkubwa baba baba zangu wadogo shangazi yangu walikua wana utaratibu wakukutana kila mwaka mwezi wa 12 ambambo walikua wanasherekea birthday ya baba yao na sikukuu za xmas na mwaka mpya hivyo hata sisi binamu na ndugu wengine tulipata nafasi yakukutana na hata kutengeneza ukaribu mzuri wa kifamilia.

Ila kuna huyu binamu mtoto wa shangazi ki umri nimemzidi kwa na miaka miwili ila alionekana yeye kua na confidence kunizidi mimi mwenye aibu. Alipenda kunitania kua mimi ni mchumba wake niliona aibu kwani kaka zangu walinitania sana ila na yeye hakuacha kunitania kua mimi ni mchumba wake hio hali iliendelea kwa miaka kadhaa.

Miaka mingi ikapita kukatokea umbali mkubwa sana kwetu maana baba yake ambaye alikua si mtanzania alimchukua mwanae na shangazi yangu na kwenda nao ugaibuni. Hivyo tukawa hatukutani tena miaka ikasogea social media nazo zikaja mawasiliano yakarahisishwa hivyo tukaanza kutafutana kwenye mitandao na tukaanza kuwasiliana na story nyingi zilikua ananikumbushia enzi zile tulivyokua tunakutana kwa bibi na babu. Nilikua nishakua ila aibu hazijaniacha hivyo nikawa napotezea hizo mada na kuanza kumuuliza kua chuo anasoma course gani ila akawa ananirudisha pale pale kwenye yale mautani ya kuniita mchumba na mimi kuchukia hata mpaka kulia pale kaka zangu walipozidisha kunitania.

Mda ukapita kidogo wakawa wamefunga safari kuja Tanzania
Sikuweza kuonana nao mapema maana na mimi nilikua mkoani kwa ajili ya field ila niliporudi Nyumbani ndio nikapata nafasi ya kukutana na binamu yangu mzuri tuliepotezana kwa mda mrefu.

Kiukweli tulikua tumebadilika sana kulinganisha na mara ya mwisho kuonana. Nilikua nimesharefuka sana nimekua mkubwa na binamu yangu alikua naye ameshakua mkubwa maana kifua kimejaa na ule mchanganyiko wake sasa ndio zaidi ulimpendezesha maana urefu kachukua wa ki maasai na shape ila karangi kidogo kamekua si ka kibongo sana na nywele yaani kiukweli ni mrembo sana.

Basi tukawa tunaulizana sana mambo kuhusu maisha na mipango ya mbeleni. Mpaka tukazoeana vyakutosha nikaanza kumtoa kumzururisha tukawa watu wa bata jingi sana. Ila binamu alionekana ana jambo anataka kuniambia mara kadhaa ila akawa anapotezea. Nakumbuka tumetoka Club next door kama saa 8 hivi tunaelekea nyumbani. Binamu tulivyofika nyumbani alikataa tusiingie ndani kwanza. Hapo kesho yake tunatakiwa tuende Arusha kwenye birthday ya babu na sikukuu za xmas na mwaka mpya kama ilivyokua kawaida yetu. Ila wazee wetu walikua wameshatangulia amebaki mimi binamu na binamu yangu mwingine ila yeye siku hio hatukutoka naye alibakia nyumbani.
Binamu tukiwa pale nje akanikumbatia kilevi levi hivi na kunishika mashavu yangu kama mtoto na kuniambia "sijakuuliza kuhusu mchumba wako na sitakuuliza ninachotaka ni have a fun with you leo" sikua mnyonge kihivyo maana anaongea hayo anamaliza tayari mikono yangu ishakua active na iko kwenye her big round bouncy butt. Story iwe fupi tulipiga show hapo hapo nje ila tukaja kuimalizia chumbani.

Hii iliendelea kwa mda wote tuliokua nao hata tulivyoenda Arusha ila wakaondoka ila kwenye hali ambayo kiukweli kwetu wawili ilikua mbaya sana ila baada ya binamu kuondoka tulikaa mwaka mmoja na miezi kadhaa ndio tukakutana tena ila binamu alikua tofauti ni kama hana mizuka tena na mimi ila siku moja kwenye kuomba show maana ikawa ni yakuomba sasa maana hayuko kama mwanzoni ndio akafunguka akasema hataki tuwe sex-buddy anataka tuwe devoted na mahusiano yetu kiukweli nilishtuka sana ila binamu alionyesha msimambo anasema kwa mwaka mzima na miezi aliishi kwa shida sana akitamani angekua anaweza kuni control na nisiwe na date na mtu mwingine maana alikua ameshajawa na wivu sana.

Binamu nilishindwa kumuahidi alichotaka ila nikasingizia tamaduni zetu kua haziruhusu. Ila hakuwahi kukubaliana na hilo. Na mimi kiukweli nimemuelewa sana hali kwamba sina mtu ninaye date naye kwa sasa japo kupiga na piga ila natamani kutomuumiza tena binamu yangu mtamu.
January anakuja ila najua ugomvi utakua ule ule ndio maana imebidi niulize hili swali.
Waswahili Wanasema binamu nyama ya hamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom