Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Nafikiri JK ametumia propaganda ya UDINI ili watanzania tuache kushughulikia mambo ya msingi haswa hili la badiliko la Katiba ambalo baada tu ya kumalizika uchaguzi ilionekana iko haja ya kuanza mchakato wake. Vile vile kutokana na kupungua umaarufu wa JK anatafuta support ya kidini (WAISLAMU) kwa kuwanyooshea vidole wengine. Mara nyingi mambo haya ya kuonewa kutokana na udini huwa yanaanzishwa na waislamu na hii siyo Tanzania tu. Hivyo ndugu zetu waislamu hebu tushulikie mambo ya msingi ambayo yatasaidia kutuletea maendeleo. Wenzetu USA wanafikiria juu ya kuweza kuishi katika sayari ya Mars ifikapo 2080, hebu na sisi tuweke azimio katika jambo fulani kama ifikapo mwaka fulani tuwe na umeme wa uhakika na gharama nafuu.
Nimetazama weeee.... nimesubiri saaana majawabu ili alau nami niambulie tofauti ya mawazo sijapata! lakini baada ya kuzama sana ndani nimegundua kitu kipya kabisa.
Ukweli unapomwingia mtu HUBABAIKA, na baada ya KUBABAIKA hukosa MWELEKEO, na akosapo MWELEKEO hupoteza BUSARA na BUSARA ikishapotea huwa HAJALI. Hapo ndipo matatizo mengi huanza baada ya kutokea AJALI ya AKILI. Sijashangaa kuona badala ya majawabu kumepatikana kitu tofauti. hali ile inatokana na UKWELI ULE. Hali ile inasababishwa na WATU KUWA NA MAZOEA YA KUTAKA KUUFUNIKA UKWELI... Lakini je watu wanataka mpaka ifikie hatua ya WATU KUANZA KUUPIGANIA UHURU UPYA? Hivi kwanini watu hawapendi kuamka na kujifunza kutokana na makosa? Hivi ni kwa sababu ipi watu watake yale wanayoyataka wao tu?
Kuna mtu katoa hoja katika mada hii "ni kwanini waislamu pekee ndio wanalalamika kuonewa?" nna mashaka na kiwango chake cha kumbukumbu pia ananiwazisha kufikiri juu ya kiwango chake cha uelewa!! Mtaniwia radhi kwa kuuliza swali ambalo jawabu lake ndilo jibu la huyo mheshimiwa "HIVI NI KWANINI CHADEMA PEKE YAO NDIO WANAOLALAMIKA KUIBIWA KURA?" akinijibu hapo atakuwa amepata jawabu la upande ule wa pili!:teeth:
Je kwanini hatujiulizi na kupanua fikra zetu? Leo hii watu wamesahau ni kitu gani kilisababisha mzee Malecela asigombee urais, wamesahau ni jina gani alipewa ghafla ili achafuke (ule haukuwa udini!!!):embarrassed:
mwanangu nilisema biashara ya udini hapa tz imefilisika biashara iliyopo ni kati ya walionacho na wasio nacho wewe mwenyewe umekiri kwamba ungepeleka thread hii kwenye dini isingelipa sasa unacho kifanya ni kulazimisha wanunuzi wanunue UR Marketing Mohammad s.a.w for your own NJAA hailipi mwanangu umebaki jibu hoja jibu hoja kama una hoja vile Kama mtoto analilia pipi? nakuuliza kwa jina tu unaweza kumtambua mtu imani yake? maana umesha panga huyu mwislamu huyu mkristo wacha zako hizo!....
Nilikueleza mapema nini kitatokea Sokomoko kwenye mada hii! hata huo mdahalo wa maprofesa aambao ungelipenda uwepo, unayoyaona hapa yatakuwa hayohayo kasoro matusi tu. Nime-experience kitu kimoja kwa hawa wenzetu. Hata kama amesoma namna gani, lakini anaweza kushika hoja ambayo haina mashiko. Na pia akiona jambo limemkulia aidha atanyamaza, atatoa udhuru kuwa kuna nyaraka, aidha atazungumza vitu ambavyo havihusiki at the end mtaahirisha mjadala!!! I know them very well!Nadhani kuna haja ya kuitisha mdahalo wa wasomi ili kulizungumzia udini wa Kikwete na watu kama kina Lwaitama na Prof Shivji wawepo nitapenda maprofessor wa dini ya kikristo wawe wengi ili elimu yao itumike kutoa facts za udini wa Kikwete nasie tuliogizani tujue maana hadi sasa na mipage yote ya hii thread sijapata fact inayoweza "hold water" juu ya mada hii. Hii inanitia wasiwasi kuwa hili jambo ni uzushi na ni moja ya propaganda ya wenzetu baada ya Serikali kusitisha Ruzuku na kuangalia upya misamaha na Kanisa lipo nyuma ya hii propaganda ya Kikwete ni mdini. Nadhani ingekuwa busara wanaomzushia Kikwete udini wangejipanga wakatafuta facts kabla ya kublast.
JK ndio mdini ndugu usituzuge! Tactic yake kubwa ni kuingiza mambo ya udini kwenye ILANI za uchaguzi akishashtukiwa anawasingizia wengine kwamba waliyaweka kisha anayatoa na ili kuyafunika mambo hayo anawalaumu watu ASIOTAKA KUWATAJA kwamba ni wadini! Tumeshamstukia na wengi hawatakuwa na imani tena na JK, ie toka 80% hadi 61%!!!!!!!!
Jumla yote ni 50 kati yao wakristo 32 na waislam 18.
Wakristo 64%
Waislam 36%
Ukiangalia wakuu wa mikoa na wilaya utaona wakristo ni wengi zaidi ya waislam sasa sijui na sifahamu huo udini wa JK upo wapi???
Mwenye data tafadhali azilete jamvini.
kama nikutumia hizo data ulizoweka basi jibu lake ni MDINI. wewe huoni anapendelea wakristo. Yaani wakristo 64%, Waislamu 36%, dini nyingine 0% na wasio na dini 0%, Logically lazima useme ni mdini.
Nina wasiwasi na yupi ni mdini rais au mwenye thread? Hivi aliwaambia nani kuwa uteuzi uanangalia dini ya mtu. Kama hilo ni kweli leteni data tumwondoshe madarakani yeyote aliyefanya uteuzi kwa kuangalia dini ya mtu. Ni mawazo mabaya kuyapandikiza ndani ya vichwa vya watanzania, eti angalia katika wakuu wa mikoa na wilaya waislam wangapi na wakriso wangapi? Na dini nyingine je hao si watanzania? Dini ni uislam na ukiristo tu? Baadae tutambiwa tuangalie hata wakurugenzi, makatibu wakuu, na mwisho kabisa wafanyakazi wa kawaida!
Mwenye mawazo ya kuangalia dini za watu ndiye mdini. Alafu wengi wanadanywa na majina kwasababu mtu aweza kuwa Joseph na sitende Kikristo au Hamis na asitende kiislam. TAFARI!
Nilikueleza mapema nini kitatokea Sokomoko kwenye mada hii! hata huo mdahalo wa maprofesa aambao ungelipenda uwepo, unayoyaona hapa yatakuwa hayohayo kasoro matusi tu. Nime-experience kitu kimoja kwa hawa wenzetu. Hata kama amesoma namna gani, lakini anaweza kushika hoja ambayo haina mashiko. Na pia akiona jambo limemkulia aidha atanyamaza, atatoa udhuru kuwa kuna nyaraka, aidha atazungumza vitu ambavyo havihusiki at the end mtaahirisha mjadala!!! I know them very well!
nashindwa nikusaidieje sokomoko kila nikifikilia jinsi ya kukuelewesha nashindwa! WEWE NI MDINI SANA NA HUTAMWELEWA MTU KWA LOLOTE! HAPA UMEANDIKA HUKU UKIWA NA MAJIBU YAKO KABISA UMEKUJA KUBISHANA HILO NDO TATIZO!Kuna mwenye list ya wajumbe wa Idara ya Itikadi na Uenezi CCM tuwajue maana wao ndio wenye Kuongoza na kusimamia maandalizi ya Sera, Programu na Ilani za Uchaguzi za CCM kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977. Maana hawa ndio wanaoamua nini kifanyike ndani ya miaka mitano baada ya uchaguzi.
amemjuaje kama ni shoga basi yeye ni basha! shoga huwa anajitangaza mwenyewe na si kutangazwa na mwingine kama afanyavyo mkuu!
ni kweli kuna vyama vya kidini ila vimejivisha sura ya vyama vya siasa rejea mada hiyo hapo juu utajua makanisa yametumika vipi kufanya chama fulani kuwa na wafuasi wengi wa umini wake. Tumeshuhudia miaka mingi serikali ikisiwa na serikali mpaka huyo huyo jk kuitwa "chaguo la mungu" .
Mfano chama kina viongozi au wanachama mashoga akisema kuna chama cha mashoga mtamwita na yeye shoga?
Msiwe mnachukulia mambo kijuujuu.
mwizi anastahili adhabu bila kujiuliza huyu ni mkristo au mwislam mkuuu! hebu fikilia bwana kidogo!Walionacho ni kina nani? wanaiibia hii nchi ni wakina nani? Naamini leo hii Serikali ikiamua kuwakaliakooni kina Chenge, Lowasa na wezi wengine pia mtalalamika mtasema anatumia udini maana wengi wa mafisadi kuanzaia Benki kuu, kwenye wizara na halmashauri wakristo wanaongoza kwa ufisadi.
mwizi anastahili adhabu bila kujiuliza huyu ni mkristo au mwislam mkuuu! hebu fikilia bwana kidogo!
nashindwa nikusaidieje sokomoko kila nikifikilia jinsi ya kukuelewesha nashindwa! WEWE NI MDINI SANA NA HUTAMWELEWA MTU KWA LOLOTE! HAPA UMEANDIKA HUKU UKIWA NA MAJIBU YAKO KABISA UMEKUJA KUBISHANA HILO NDO TATIZO!
Nimeshakwambia wewe ni mpungufu wa akili unakuja na vihoja vya ajabu ajabu mara unatuhesabia visoda vya mawaziri mara kikwete hajalazimisha watu kuvaa kanzu, yaani unafikiri huo ndio udini au kuvaa kanzu ndio udini zero kabisa kichwani.Nadhani hatupo hapa kutishana na dhumuni la thread hii sio kuleta propaganda ila kuweza kuchokonoa udini wa Kikwete ili wanaotatizika waweze kumjudge kweli Kikwete ni mdini. Mathalani unaweza kuleta ushahidi aliwalazimisha watu wavae kanzu za kiislam na kusoma Quraan ili waweze kupata huduma fulani. Au pengine alishawahi kuwa imamu wa msikiti fulani na anapeleka maendeleo kwenye ile sehemu ambayo alikuwa imamu ama amesilimisha watu wa eneo fulani na lilikuwa sharti la kuwapelekea maendeleo. Come with facts tuzipime kusema ni mdini tu haisaidii au kuleta maneno yaliyo nje ya topic haitaleta uelewa wa udini wa Kikwete. Wewe ungekuwa Mod ungetupa BAN Mimi ningekuwa JK ningekupa life pia TAFAKARI.
Acha inferiority complex..wewe na wenzako kama mliona usilamu unatukanwa mlibonyeza kitufe kuwaambia MODS? Mliwaarifu wakakataa kurekebisha ? Sasa kama hamkufanya hivyo kuwalaumu MODS waonekane kama ni maadui wa Usilamu huoni kama ni kuleta mfarakano? Kama wewe na wenzako mnaona JF inapinga usilamu, tangia muanze kulalamika mbona bado mpo? Nyie ni wanafiki wakubwa na ningekuwa MOD mngechezea server ban nyote nyie.
Nimeshakwambia wewe ni mpungufu wa akili unakuja na vihoja vya ajabu ajabu mara unatuhesabia visoda vya mawaziri mara kikwete hajalazimisha watu kuvaa kanzu, yaani unafikiri huo ndio udini au kuvaa kanzu ndio udini zero kabisa kichwani.
kikwete ni mdini ndiyo maana alipoimgia tu aliweka mahakama ya kadhi kwenye ilani ya ccm nba kuinadi wakati hayo ni mambo ya dini husika.......kaachia mjadala wa kidini wakati angekataza ili wabunge wetu wazungumzie namna ya kulikomboa taifa kutoka hapa tulipo...mbaya zaidi bunge likapoteza muda na pesa kwa kujadili ujinga ma kumfanya waziri mkuu kushughulikia ujinga wa dini fulani badala ya matatizo ya msingi............kikwete ni mdini kwa sababu anataka kuvunjua katiba liyoapa kuilinda na kuendeleza udini na kukwea majukwaaani na kusema kuna udini........waislamu walikuwa wa kwanza kuleta udini kabla ya uchaguzi na kusema wazi hawatapigia kura ccm na isipokuwa watapigia ile taasisi ya kiislamu yaani cuf........kikwete ni mdini kwa sababu anateua waislamu sio kwa uwezo ila kwa udini