Je, Kikwete ni mdini?

Ina maana masanilo yeye asitoe maoni yake.
 
Sasa MODS unaweza kuitoa hii thread naona mwanzisha hoja alikuwa hana hoja ya maana kazi kuhesabu majina ya mawaziri tu, amekimbia.
 
SOKOMOKO nimeona wadau wamekutaja mara nyingi kwenye pumba posters guru.
imekuwaje??
 
Sokomoko, 'si ulitaka chai chai mbona sasa unasema unaunguaaaa' unakimbiaaaaaaaaa. Ulitegemea MODS watahamisha thread mapema ili uanze kulialia kuwa wako biased ukome siku nyingine usilete udini wako hapa.
 


Kwa takwimu hizi mahiri unaweza kuwashawishi watu na hasa wale wanaofikiri uwingi wa vitu ndio umuhimu wake. Nime jaribu kuangalia wizara ambazo ni roho ya nchi zina watu wa dini gani, angalia fedha, ulinzi, mambo ya ndani wanaongoza hizi ni wa dini gani?

Usikasirike kwa sababu ya watenda mabaya, usiwahusudu wafanyao ubatili, usimkasirikie yeye afanikiwaye katika njia yake, wala mtu afanyae hila, ukomeshe hasira, uache ghadhabu, usikasirike, mwisho wake ni kutenda mabaya. Maana watenda mabaya watahariwa, Bali wamngojao bwana ndio watakaoirithi nchi.
 
mwenye hoja kikwete ni mdini alete plz

Ili upate jibu zuri, weka orodha ya wateule wake wote aliowateua kuanzia mawaziri, manaibu, makatibu wakuu, wakurugenzi, manaibu wao, majaji wa mahakama kuu na na mahakama ya rufaa, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na wasaidizi wao, wanaomsaidia kwenye CCM CC na NEC na pia wakuu wa taasisi na mashirika ya uma na wasaidizi wao.

Hata hivyo ujue kuwa dini ya wateule haiwezi kuwa kipimo cha udini ila ni nani kashika taasisi nyeti kama wizara ya fedha, NSSF, Usalama wa taifa.

Na siyo nani kashika taasisi nyeti tu, bali na yeye ni mdini kiasi gani. Kumbuka kutofautisha majina ya kikristo na wakristo. Mimi ninajina la kikristo lakini kanisani nilienda mara ya mwisho miaka mitano iliyopita nilipohudhuria harusi ya ndugu yangu. Sina uhakika kama bado ni mkristo au la. Kujua kuwa JK ni mdini, angalia matendo ya watu anaowateua kushika taasisi nyeti kwani kwa uwezo alio nao (kama ulivyotoa mfano wa ze utamu) anaweza kujua fulani ana tabia ya udini na hivyo kumteua ni kuwa anamuunga mkono.

Hivyo ni kazi kwako wewe mtoa hoja kufanya hiyo homework utupe jibu.
 
i wish kuitwa "joseph" au "michael" kungemaanisha ukristo kweli au kuitwa "rajabu","hamisi" nk kungemaanisha uislaam!
Lakini hili ni jambo ambalo lipo deep sana,kiasi kwamba tunaweza tusimalize hapa kulijadili kwa leo,ila swala ni moyoni mwa kila mmoja kuna dini na mtazamo wa aina gani?
 
Swali langu je kwa nini Kikwete anateua mawaziri wengi Wakristo?? Je waislamu hawana uwezo au wakristo ndio wengi kwa uwiano au Kikwete ni mdini anayebagua watu wa dini moja na kupendelea dini nyingine bila sababu??????? Ana sababu gani ya kufanya hivi??? Au ana agenda ya siri ili kuzuga watu?? Sielewi jamani!!!!!
 
Yaani thinking ya watanzania ni ya ajabu sana. Kwa hiyo rais anapoteua mawaziri huwa anatakiwa kufikiria kwamba anateua waziri wa kutoka dini gani? Hii ni ajabu sana. Katu nisingefikiria kwamba Rais makini atakaa afikirie habari ya mtu fulani kuwa waziri kutokana na dhehebu lake. Kwani anateua mawaziri wa kufanya kazi za serikali au watumishi wa misikiti na makanisa? Kama si wahudumu wa makanisa na misikitiki, dini zinahusikaje kwenye ufanyaji kazi wa waziri.

Kwa imani yangu na kwa uelewa wangu katika suala la uongozi, mtu anateuliwa kutokana na ufanyaji kazi wake. NImeshakuwa kiongozi katika taasisi ya serikali, sikuwahi hata siku moja kutoa priority ya employment kwa kuangalia dini, katu. Labda kuna wakati tuliwahi lazimishwa tuajiri kwa kuangalia gender. Lakini kuongelea habari za udini katika utoaji wa nafasi katika serikali, ni ukosefu wa umakini na ufahamu wa nini Tanzania ya sasa inahitaji.
 
 
My friend Rev Masa! naona nimekuwa nikifuatilia sana msisitizo wako na mabishano na hawa watu wa type ya kina MS! from their comments, opinions etc, i have came up into a conclusion. My conclusion mainly based on the background, knowledge and upbringing of our fellow members the likes of MS and co, my conclusion triggered my doubts to those facts, mentioned above!. These individuals have shown the elements of fanaticism and the way i read you is as you have enormous knowledge and because of that you should ignore these kind of perpetrators of holly wars and fanaticism. We should all acknowledge that Islam is a religion just like any other, and it has got decent followers all over the world. People like MS and co seems to have little or lacking the knowledge of what Islam is! please do not take their poor knowledge about this religion as a whole. I am a Christian in a much diverse family of both Muslims and Catholics, and i find MS very very annoying individual in this, Sorry Mods!! We are all the same in the eggshell!! Rev please find the quote i adore!


[SIZE=-1]Men become civilized, not in proportion to their willingness to believe, but in proportion to their readiness to doubt.[/SIZE]
[SIZE=-1]H.L. MENCKEN, as quoted in James A. Haught's 2000 Years of Disbelief[/SIZE]
 
 
if u want to know mtu ni mpuuzi, arrogant, hooligan, just wacha aongee utajua, huyu sokomoko ni mdini kama JK hapa haongelei mahakama ya kadhi, leo kaja na vidubwasha, hawa ni wale wanaokwenda kwa Sheikh Yahya, mambo ya giza, all u r posts are poor, na niseme, akili ndogo sana
ndio maana unamtetea JK, cheza na maisha yako na si ya watu, koma, u r an idiot to hell
 
kila kukicha ukweli unazidi kuanikwa. hebu tuwe waungwana na tuseme jamani rasilimali za nchi hii ni haki yetu sote. soi kikundi kidogo au kanisa au msikiti. tupiganie utaifa ili tuishi kwa amani. ukweli ubaki kuwa ukweli hata kama unauma.
 
 

Mbona Rafiki yangu unakuwa Mkali namna hivyo? X-PASTER na mwenzake Sokomoko wana haki ya kuzungumza ukweli wa mambo. Mkuu Punguza hasira hasira hasara. Jamii Forums haina Dini wala haipendelee Dini yoyote ile hapa tupo Kuzungumza wazi na ukweli hakuna kutukanana wala kuvinjiana

mtu kwa mtu heshima waache wazungumza wanayofikiria moyoni mwao na wewe towa mawazo yako sio kuwatishia watu kwa neno (BAN). Hapa ni (The Home of Great Thinkers). WHERE WE DARE TO TALK OPENLY Punguza hasira mkuu Abdulhalim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…