Je, Kikwete ni mdini?


walionacho ni Wakristo Waislamu na Wapagani pia wasio nacho ni Wakristo Waislamu pia na wapagani Nina uhakika 100% kwamba imani hizi zote hazifundishi UFISADI na muumini akifisadi ni uasi wake binafsi na fatwah yake ni moto wa milele maana imani yake haifundishi kufisadi Unacho kifanya ni kwamba una bunduki lakini unalenga shabaha isiyo husika mwanangu Hebu TAFAKARI na uchukue hatua kupambana na adui no 1 wa taifa hili Naye ni UFISADI tukiushìnda Huo UJINGA, UMASKINI NA MARADHI TUTAPIGA HATUA KUBWA Tusiwe kama watoto watano wa mmbwa wanaotoana damu kunyonya wakati mama yao ana matiti kumi na mbili jee wangeafikiana pa kunyonya mengine saba hayana mnyonyaji MUNGU Ametukirimia mali asili nyingi tu tatizo ni USIMAMIAJI Mwanangu!
 
Sokomoko kabla hujaamua kuja na thread hii ulifuatilia vigezo vya uteuzi wa viongozi ktk taifa hili na kuona kuwa moja ya criteria ni dini zao? Kwanini utoe mfano wa uteuzi wa viongozi? Au udini ni kuwa umezungukwa na wa watu wa imani yako?

Naomba utusaidie uelewa wako juu ya udini. Naamini tukishakuelewa tutaweza kuchangia kwa tija.

Jingine wanasikologia wanasema mara nyingi sana watu upenda kuwasingizia wenzao mambo ambayo ni hulka yao. Angalizo ukisikia mtu yeyote awe kiongozi au la anahubiri sana juu ya udini chances are that yeye ni mdini tu believe me you.
 
Sokomoko kabla hujaamua kuja na thread hii ulifuatilia vigezo vya uteuzi wa viongozi ktk taifa hili na kuona kuwa moja ya criteria ni dini zao? Kwanini utoe mfano wa uteuzi wa viongozi? Au udini ni kuwa umezungukwa na wa watu wa imani yako?

Naomba utusaidie uelewa wako juu ya udini. Naamini tukishakuelewa tutaweza kuchangia kwa tija.

Jingine wanasikologia wanasema mara nyingi sana watu hupenda kuwasingizia wengine mambo ambayo ni hulka yao. Angalizo ukisikia mtu yeyote awe kiongozi au la anahubiri sana juu ya udini chances are that yeye ni mdini tu believe me you.
 
a. Una maana CCM isimsimamishe mgombea muislamu hata kama anakubalika ifikapo 2015?

b. Nyerere alisema wapi hayo kuwa "haitakuwa fair"?

A:Yes, iwapo CCM itamsimamisha Muislamu mwaka 2015 basi kuna hatari ya nchi kuvurugika, kwa sababu watu wataamini kwamba CCM ni chama cha dini fulani. Unajua mwaka 2000 CUF ilikuwa na wafuasi wengi kwa sababu Waislamu wengi waliamini kwamba CCM haiwatendei haki. Waislamu wengi waliamini ni bora kumpigia kura Lipumba (Muslim) kuliko Mkapa (Mkristo). Same issue kwa Chadema mwaka huu, ukiangalia kura nyingi walizopata Chadema ni sehemu ambazo inasemekana kuna Wakristo wengi.

B: Source nyingi ziliripoti hii issue ktk view tofauti. Lakini kuna inside source ambazo zilisema issue ilikuwa zaidi kwamba, Nyerere alisema ni fair kwa Wakristo iwapo rais atakaekuja atakuwa mkiristo. Haimake sense, watu wampigie kura mtu ambaye hana uzoefu wa kundesha nchi. Kwa nini walimpigia kura mtu ambaye hajui kuongoza nchi?
 
[QUOTE=Sokomoko;1332833]Waislam walikuwa na taasisi nyingi na shule nyingi sana tanzania nzima ( Tambaza, Azania, Dodoma Secondary) muulize mhe Hashim Saggaf au Sango Kipozi walisoma Dodoma Secondary ilikuwa shule ya nani. Shule hizi zilikuwa classic. shule hizi zilitaifishwa na serikali na mpaka leo hii zipo chini ya serikali huku serikali ikiwacha kanisa likichanuwa. Ni kweli lakini Kikwete angepata fursa ya kusoma ingekuwa taasisi za kiislamu zingepewa fursa sawa na za kiroma.

Nyumba nyingi za NHC ni za waislamu zilitaifishwa enzi za uhujumu uchumi ili kukwamisha maendeleo ya waislam ukizungumza ukweli wewe mdini mnataka waislam wakubali kuimba mapambia wakiingia kwenye ofisi za umma maana kuna vinanda vinalia kila ofisi ya serikali na mauwa ya chrismass acheni hizo chuki. Waislam walishakubali siku nyingi ila nyie mnachokonoa waseme...
[/QUOTE]




MIE NADHANI WE NDO MDINI NA UNATAFUTA SABABU NA KUPANDIKIZA CHUKI MIONGONI MWA DINI HIZI MBILI. MWAMBIE MUNGU WAKO AKUSAMEHE DHAMBI HII YA UCHONGANISHI




 
......kwanza rekebisha 'hakuna ruzuku ya kuendesha makanisa' ila taasisi za kijamii za makanisa. Pili, wakristo walipeleka proposal yao yenye akili, wakajenga hoja na maantiki ikaonekana then mou ikasainiwa. Angalia leo ni wilaya ngapi au maeneo mangapi tanzania hii kuna hosptal za kikristo ambapo hata serikali haina haja ya kujenga zao maana zimekidhi hitaji. Kuona wakristo wamekubaliwa hoja yao, waislam waka-cpoy na ku-paste na kosa kubwa kwenye barua yao wakaweka sababu kwamba 'kama mlivyowakubalia wakristo' idea kubwa ikiwa ni kuwatega serikali nao wakapewa kubwa. Okay, taasisi za kijamii za kikristo zinapata exemption na ruzuku lakini vipi zina deliver quality service? Jibu ni yes! Tena far beyond shule na hospital zenu za kisanii!!! Nawashauri onyeseheni mifano hai kwa kuwa na taasisi bora za kijamii then mu-apply kama sisi! Hilo ndio tatizo la kuwa watoto wa mama mdogo/housegirl (hajir) otherwise ukikereka kuwa mtoto wa mama mwenye nyumba (sara)
 
Hata 2015 hadi 2035 Rais akiwa Muislam muislam muislam potelea kwa mbali mmesikia tunachagua Papa au Shehe hapa? tunataka kiongozi atakayekutoa kwenye haya matatizo ya kujitakia na hii msijitie mnaipotezea tunataka KATIBA MPYA!
 

Kijana hujui kipi hasa kimepelekea serikali kufuta ile ruzuku, simple wengi mashahidi kuwa hata hizo hospital watu wanalipia hakuna huduma ya bure na ujenzi wa mashule na mahospitali jamaa hufanya harambee. Pesa zinazopatikana kwenye harambee ndio wanajengea either shule au hospital. Zile pesa za ruzuku walikuwa wanatafuna wajanja wachache muulizeni Slaa anajua hili maana yeye alikuwa jikoni na ndio maana na yeye akapiga zile pesa za msaada za itali.

Halafu mambo ya huda za jamii ni suala la Serikali na sio makanisa na misikiti kupewa ruzuku ila wao wanaweza kufanya kutegemea vyanzo vyao vya mapato na misaada kutoka kwa marafiki wa nje na ndani. Pesa za kodi zijenge mashule na mahospitali na zijengwe na serikali na sio sub contractor huko pesa nyingi zinatapanywa.

Halafu kuhusu misamaha ya kodi sio kama haitoki ila sio kama ilivyozoeleka. Kipindi kile utakuta Kanisa dogo tu hala lipu halina lakini kwenye list linaonekana limepata msamaha wa mamilioni ya pesa imeagiza vitu kadha wa kadha nenda pale kanisani uone kama utakuta hivyo vitu! Na hili haliwaadhiri wakristo peke yake hata waislam walitumia sana hii mbinu ya kutumia taasisi kukwepa kodi ila wenzetu waliwazidi!

Yaliyopita si ndwele tujengeni nchi kama mlikuwa mnakwepa kodi kwa kupisha biasha zenu huko tafuteni vyanzo vingine.
 

Thank God Edward Lowassa will be our 5th President....... Hapo ndio mtajua tamu na chungu maana nadhani zitazaliwa richmond kama utitiri anyway mlilia wembe.............
 

Hapo kwenye nyekundu unaamanisha Chadema ni wadini maana wao ndio wanaopiga makelele humu JF kuwa JK mdini.

Na pili Chadema ni wezi maana wao pia wanalalamika CCM wamewaibia kura.

Nipo tayari kurekebiswa au unifafanulie zaidi.
 
Tatizo ni kuwa JF imevamiwa na watu wenye makengeza[myopic] na kwao kila kitu ni black and white na kwa bahati mbaya wanazungumzia mambo bila ya utafiti na udadisi hadi wanatukana hadharani naona mheshimiwa mod analifurahia hili maana yu kimya sana.
JF sasa imekuwa ni kijiwe tuu yeyote asiyekuwa na shughuli maalum na mwenye acess na mtandao anaweza sema lolote lile.
Jamani lets go back to where we started ambapo wana jf walikuwa kweli great thinkers
 

 

Abunwasi
JF Senior Expert Member
Join DateThu Jun 2009LocationUrbanitePosts458Thanks247Thanked 119 Times in 94 Posts
Samahani mkuu hivi ile ID yako ya where we started inaitwaje vile? plz niPM
 
Ona unachoandika uko kama taahira! Mkapa huyo huyo aliwapa chuo kikuu ili mpunguze Madrassa

Alitoa chuo cha morogoro kama kucompromise kwa aliowaua mwembechai.....lakini kesi yake ipo inashughulikiwa kwa kufanya mauaji.
 

Mwalimu amvunja mkono mwanafunzi wake

Mwalimu wa Kiingereza katika Shule ya Msingi Furaha jijini Mwanza, Jafeth Manyirizu, anatafutwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kufuatia kudaiwa kumvunja mkono mwanafunzi wake, Asia Yasini, wakati akimwadhibu kwa kumpiga kwa ubao.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoani humo, Simon Siro, chanzo cha mwalimu kumvunja mkono mwanafunzi huyo ni kupindisha mstari wakati akifundishwa somo hilo. “Jeshi langu linaendelea na upelelezi wa tukio hili ili liweze kumtia katika nguvu za dola na sheria iweze kuchukua mkondo wake dhidi iya mwalimu huyu katili,” alisema Siro ambaye amewaomba Walimu wenye tabia hiyo kuacha vitendo hivyo kwani kitendo alichofanyiwa binti huyo ni cha ukatili.

Mkuu wa shule hiyo, Emmanuel Manoni, amesema hana taarifa za kitendo alichofanya Mwalimu huyo lakini akaahidi kuwa atazifuatilia ili kuzifahamu kwa undani.

Source Dar leo.

Umeona mwalim Japhet anahakikisha kina Asia wanaichukia Shule ila kina Christina wanahakikishiwa kuipenda shule na kumaliza bila vikwazo.


http://www.wavuti.com/habari.html#ixzz17EpqQv59
 
huyu SOKOMOKO nafikiri uwezo wake wa kufikiri ni mdogo, wahenga husema usibishane na mjinga na wewe utakuwa mjinga

mwisho kabisa Dr Magufuli kamfukuza kazi Mrema aliyekuwa Chief Executive Office wa Tanroads, kwa akili ya Sokomoko na Malaria Sugu huyu mrema angewa Muislamu wangesema Dr Magufuli ni mdini kamfukuza mwislam mwenzetu ili amweke mkristu tujitahidi kumkwamisha kazi maana waislam tunaonewa.
 



Sokomoko, may be you think you are doing something constructive but on contrary you are doing it destructive

Cant you at least try to put everything in a proper way?? Is this the first act for a Christian teacher to punish Muslim student?? Is there no any Muslim teacher who punish christian students?? What do you want this country to go!!! You mean a person from a different denomination or religious background should not punish the other??

If this is where you want us to reach then go ahead with your malicious argument here in JF.

Lets be constructive please!!!!!!!!!!!!!
 

Hawa wote waliokugongengea senks wanajulikana kwa misamamo yao ya ubaguzi ya dini
Abunwasi (Today), John10 (Yesterday), M TZ 1 (3rd December 2010), Malaria Sugu (Yesterday), MchunguZI (Yesterday), Mwanamageuko (3rd December 2010), MziziMkavu (3rd December 2010), Ncha (3rd December 2010), Semjato (Today), X-PASTER (3rd December 2010)​
 
Ukiwapa ukweli wanakimbilia propaganda za kusema kuwa Waislam hawajasoma... Wakati mwingine utasikia ooh nendeni shule kwanza! Propanda zimewachukuwa kiasi wanajiona kuwa wao ndio wasomi peke yao...!

Kwa aliyseoma aposti madudu kama hayo!
 

Si uliona aliyevaa kibandiko mahakamani alivyoleta sokomoko! Sasa wewe ingia na viatu msikitini kama utasalimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…