mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,076
- 4,113
Rais kasema hajamtuma mtu. Kama kuna mtu ana mtaka anavyo viti kumi vya kuteua atampa hivyo kama ata shinda UraisDogo kachemsha, and watu humu wanasema eti anaandaliwa kuwa waziri!!
...kabisa uyo na kijana wake lao mojaUsimwamini sana Magu
Nakuunga mkono×1000Usimwamini sana Magu
Na CCM kwa ujumla wakeUsimwamini sana Magu
Unamwamini Riais!???? Yani bashite anaandaliwa kua waziri tena wa ulinzi au ubunge amini na kwambia huyo ni Msukuma ujueDogo kachemsha, and watu humu wanasema eti anaandaliwa kuwa waziri!!
watu wanapenda kujisahaulisha sana...Usimwamini sana Magu
Ina maana angeshindwa kumteuaUnamwamini Riais!???? Yani bashite anaandaliwa kua waziri tena wa ulinzi au ubunge amini na kwambia huyo ni Msukuma ujue