Je, katika Biblia Takatifu kuna kifungu kinachoelezea ulazima wa Bibi Harusi kuvaa shela?

Nimeshuhudia ndoa nyingi sana zikifungwa bila hayo madude maana kuyapata lazima gharama itumike so asiyekuwa na uwezo siyo lazima avae,shela ni ishara ya furaha na ni vazi la heshima kwa anayeolewa likimaanisha ni msafi na hii nadhani ni special kwa wale wanaoolewa wakiwa bado sealed (wengi wanaolivaa kizazi hiki wanalibaka ilibidi wavae hata vitenge tu kwenye harusi zao)

Obviously wewe ni msabato acheni ku-complicate mambo vitu vingine ni tamaduni tu zipo duniani siyo lazima viandikwe ktk Bible that's why siyo sheria,au kwako wewe kuvaa shela ni dhambi?

Kama ni dhambi tuambie imeandikwa wapi ktk biblia kwamba kuvaa shela ni dhambi?
 
Kama wewe ni lofa ruksa nguo yeyote hata gunia mvalishe bibi harusi. Ila bibi harusi atakuelewa vizuri kuwa hicho ulichomvalisha ni official information hata mbele ya public na kanisa zima kama mashahidi kuwa anaolewa na lofa wa kutupwa ajiandae maisha magumu mbeleni
jmn comments
 
Mkuu hio kutokana na Mimi kufuatilia kuhusu gauni la Bibi harusi, na sio shela maana shela najua limeandikwa hata katika agano la kale kitabu Cha Mwanzo 24:65.
Na sio gauni lile , nafikili umenielewa mkuu.
Gauni la bibi harusi we unajua ni la aina gani kwa jinsi roho wa bwana alivyokuongoza? Ukiwa na hofu kuhusu shela na unataka uendane na vazi la bibi harusi wa kwenye biblia omba roho mtakatifu akufunulie ulione.
 
Back
Top Bottom