Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo

...hivi kazi ya upinzani siku hizi sio kupigia kelele mabaya ya watawala?
mf. hili tukio la juzi polisi kuwazuia Chadema kuuaga mwili wa mawazo, ni wao Chadema kujitafutia sifa au lilisababishwa na ujinga wa ccm & polisi?!
Nyie mnataka upinzani uanze kuisifia ccm?! kwa lipi, au mema gani wanayofanyiwa?!
Zile operation M4C na nyinginezo za Cdm, haikuwa mikakati ya kukikuza chama?!
Au mnataka wapinzani waanze kujenga barabara?!!
Nyie mnaojidai wasomi wa nchi hii wakati mwingine ni full michosho, mnajidai mnajua, kumbe mnajulikana bei zenu!
#hopeless!
 


Kiukweli kiwango cha uelewa wa baadhi yetu humu jf ni shida!.
Kwenye suala la uelewa, tuna levels za aina tatu,

Tuna simple mind wanao discuss people,
ordinay mind wanao discuss events, matukio,
na Great Mind wanao discuss ideas, Prof. Kitila ni great mind, hoja yake ni ideas, mada inahusu idea, wengi humu ni simple mind hata uelewa tuu wa alichokisema Prof. Kitila ni shida!, badala ya kuchangia subject matter, watu simple minds mnajikita kwenye kumshambulia Prof. Thanks we still have some few great minds na utawajua tuu!.

Hata hivyo asanteni japo kwa kuchangia tuu, kwa sababu mambo mengine ni mambo ya uwezo, na ma IQ, ukikubali kusoma na kutafakari, unajikuta unajiongezea, and sometimes unaweza kuwa umechangia vizui zaidi kwa kujinyamazia kimya tuu kuliko kumwaga pumba!.

Pasco
Pasco leo nimekuwa simple mind sio?
 
Wanabodi,
Kwa muktadha huu, jee Tanzania tuna upinzani makini au huu uliopo ni upinzani uchwala tuu?!. Na kama tuna upinzani makini, upinzani huo ni upi?!.

Nitashukuru kama tutaweza kumpata Prof. Kitila humu akatuendeshee hili somo la upinzani uchwala na upinzani makini, na kifo cha upinzani uchwala na kuibuka kwa upinzani makini nchi Tanzania!.

Nawatakia Jumapili Njema.

Pasco

CC. Kitila Mkumbo

Na wasi wasi Joto la humu JF haiwezi siku hizi! Moja jamaa pamoja na Uprof wake-hana uhuru na umakini wa kutema cheche za fikra isiyoegemea upande! Na mwisho wa siku hushusha hata heshima ya Uprof wake.
Natumaini atakuwa amekusikia-nimpe angalizo atakapo kuja na somo husika aache mhemko wa kisiasa alionao kichwani!

Na ni rahisi tu.

Nini maana ya upinzani Uchwara ?
Sifa za Upinzani Uchwara ni zipi ?

VS.

Ni nini maana ya Upinzani wa Ukweli
Ni nini sifa za Upinzani wa Ukweli?

Siye wasomaji tutamalizia kuwa weka kwenye makundi vyama husika.

cc Kitila Mkumbo
 
Last edited by a moderator:
upinzani uchwala ni kama wa CHADEMA waliokuwa wanapinga ufisadi sasa hivi mafisadi wanao kwenye chama chao kwahiyo watakuwa kimya na Magufuli atadhibiti ufisadi.

wao hoja zao ulikuwa ufisadi hawana sera mbadala upinzani unaotakiwa hivi sasa ni wa kukosoana kisera.

mfano CCM wakisema hawana fedha za kusomesha wanafunzi bure hadi chuo kikuu inatakiwa wao waje na mkakati waulezee kisomi hizo fedha zitatoka kwenye vyanzo gani.

Wewe ni mwanaccm mbumbumbu,na unaejaribu kuja JF kupost hewa zako.
ccm walikuwa hawana sera ya kupiga vita ufisadi sio?sasa hii kamata kamata imetokea wapi?kwa hiyo wameomba lift kwa hao upinzani uchwara?huoni hiyo ni hatua moja mbele kwa Ukawa? Nataka nikutaarifu kuwa upinzani kwa sasa haupo midomoni upo miyoyoni mwa wana ukawa.Na usitake kutuaminisha upinzani wa kweli ni wa kutumiwa na ccm kama ilivo ACT
 
Prof uchwara wa chama uchwara

Pengine ni kweli kuwa Uchwala aliokuwa anauzungumzia Profesa Kitila alikuwa anajizungumzia yeye mwenyewe baada ya kujigundua. Maana msukosuko huu ambao umeipindua CCM upside down na kuwa chama chenye adabu kwa kiasi kikubwana hofu kwa wananchi uneweza kuitwa Uchwala hata kidogo.
Hivi nani haijui CCM ya 2015 kurudi nyuma?
 
...hivi kazi ya upinzani siku hizi sio kupigia kelele mabaya ya watawala?
mf. hili tukio la juzi polisi kuwazuia Chadema kuuaga mwili wa mawazo, ni wao Chadema kujitafutia sifa au lilisababishwa na ujinga wa ccm & polisi?!
Nyie mnataka upinzani uanze kuisifia ccm?! kwa lipi, au mema gani wanayofanyiwa?!
Zile operation M4C na nyinginezo za Cdm, haikuwa mikakati ya kukikuza chama?!
Au mnataka wapinzani waanze kujenga barabara?!!
Nyie mnaojidai wasomi wa nchi hii wakati mwingine ni full michosho, mnajidai mnajua, kumbe mnajulikana bei zenu!
#hopeless!


Wapinzani ni nyie wanachama masikini tu mnaotoka povu hapa kuteteta chadema lkn wenye chama akina fisadi Lowasa, Mbowe, Lisu wala siyo wapinzani na wanakula bata!
 
Mnajiaminisha kwamba ACT Ni Chama kumbe Ni kampuni ya mtu Mmoja naye Ni kiongozi Mkuu Wa kampuni hiyo tena Ni Mali ya CCM kama ilivyokuwa Sukita
Mtu makini hawezi hata siku moja kusifia vitu vya kijinga huyo Kitila U-Prof wake Ni Wa kudesa.
Sasa anaweza kuwa Professor makini???

Kampuni ya mtu binafsi ni ipi!

Mzee Mtei -mwenyekiti CHADEMA
Bob Makani(R.I.P) -mwenyekiti CHADEMA (ameoa dada wa Mzee Mtei)
Mbowe -mwenyekiti CHADEMA (ameoa mtoto wa Mzee Mtei)
 
Huo upinzani uchwara ndyo uliofikisha serikali kuwa makini madudu mengi yaibuliwe ndani ya serikali...kitila yy mwenye ndye profesa uchwara
 
Kampuni ya mtu binafsi ni ipi!

Mzee Mtei -mwenyekiti CHADEMA
Bob Makani(R.I.P) -mwenyekiti CHADEMA (ameoa dada wa Mzee Mtei)
Mbowe -mwenyekiti CHADEMA (ameoa mtoto wa Mzee Mtei)

...kumbe ulitaka kuolewa wewe, nenda hata ukawe mchepuko, ubanduliwe kwa nje!
 
Wapinzani ni nyie wanachama masikini tu mnaotoka povu hapa kuteteta chadema lkn wenye chama akina fisadi Lowasa, Mbowe, Lisu wala siyo wapinzani na wanakula bata!

...aliekwambia mimi masikini nani wewe unakanyagwa,masikini wewe na akili yako.
 
Kitila mkumbo.. kweli ni bendera fuata mkumbo jamaa huyu ni hamnazo kabisa.. uchambuzi wake ni hovyo.. yaani bora mtoto wa darasa la pili anaweza kufanya uchambuzi mzuri kuliko huyo prof utumbo.. kifupi ni mr ziro.. poleni Act -wasaliti kupata prof utumbo
 

Safari_ni_Safari,
Kama mada inazunguzia idea, Great Mind akizungumzia personalities, anageuka simple mind!. H
ata mimi mwenyewe sio Great Mind, ni simple mind tuu!.

Sorry!.

Pasco

Nilikushauri siku nyingi sana utazame filamu ya PASKALI ISLAND....naona unadharau. Anyway bado naamini Kitila ni mtu wa kuji position na opportunist your ideas about him notwithstanding!
 
Back
Top Bottom