Je, kasi ya Chalamila ya madanguro ya DSM itazaa matunda?

rovita

Member
Jul 11, 2023
17
7
Hongera San muheshimiwa mkuu wa mkoa, kwa KASI nzuri ya kuondoa au kama syo kufuta kabisa biashara ya MADANGURO katika Jiji lenye STAREHE zote.

-Jiji la DSM ni Jiji la kipekee miongoni mwa majiji yote Tz, je utaweza kutokomeza biashara hzo??

-Tumeona wakuu wa mikoa wengi wamepita walikuja na KASI kama Yako mwisho wa siku zilikuja na MATOKEO ya muda mfupi, mwisho wa siku baada ya kutok biashara zikarudi, najiuliza maswali mengi nakosa Majibu,.

1. Je Swala hili linaweza je kufanikiwa bila kuweka Sheria(BY LAW) Kali dhidi ya MADANGURO DSM?Au ndo kikiza muda ......,.......

Thax mkuu wa mkoa
 
BIashara hii ipo tangu zama za kale,

Mandanguro ya mwananyamala yalikuwa yanasaidia wateja kupunguza gharama za gesti tu, kwa sasa itabidi wagharamikie gesti, ila muda si mrefu chimbo jipya litakuwepo
 
Alikuwepo RPC Kenyela nae alienda na mabunduki na makamera moja huko kwenye madanguro kiko wapi?
 
Hongera San muheshimiwa mkuu wa mkoa, kwa KASI nzuri ya kuondoa au kama syo kufuta kabisa biashara ya MADANGURO katika Jiji lenye STAREHE zote.

-Jiji la DSM ni Jiji la kipekee miongoni mwa majiji yote Tz, je utaweza kutokomeza biashara hzo??

-Tumeona wakuu wa mikoa wengi wamepita walikuja na KASI kama Yako mwisho wa siku zilikuja na MATOKEO ya muda mfupi, mwisho wa siku baada ya kutok biashara zikarudi, najiuliza maswali mengi nakosa Majibu,.

1. Je Swala hili linaweza je kufanikiwa bila kuweka Sheria(BY LAW) Kali dhidi ya MADANGURO DSM?Au ndo kikiza muda ......,.......

Thax mkuu wa mkoa
Huyu ana lolote akiwa Mbeya mbona alishindwa kudhibiti madangulo na wanaojiuza pale Mafiati?

Amekosa kazi za kufanya
 
BIashara hii ipo tangu zama za kale,

Mandanguro ya mwananyamala yalikuwa yanasaidia wateja kupunguza gharama za gesti tu, kwa sasa itabidi wagharamikie gesti, ila muda si mrefu chimbo jipya litakuwepo
Chimbo jipya na la kisasa, sijui mkuu wa mkoa atawambia hii guest house kwa nini inawageni wengi? Tena yawezekana hapohapo penye danguro ndiko ikajengwa guest house ya kisasa au danguro la kisasa.Pamoja na hayo mazingira yao yalikuwa ni machafu sana na kimaadili haifai kabsa.
 
Hongera San muheshimiwa mkuu wa mkoa, kwa KASI nzuri ya kuondoa au kama syo kufuta kabisa biashara ya MADANGURO katika Jiji lenye STAREHE zote.

-Jiji la DSM ni Jiji la kipekee miongoni mwa majiji yote Tz, je utaweza kutokomeza biashara hzo??

-Tumeona wakuu wa mikoa wengi wamepita walikuja na KASI kama Yako mwisho wa siku zilikuja na MATOKEO ya muda mfupi, mwisho wa siku baada ya kutok biashara zikarudi, najiuliza maswali mengi nakosa Majibu,.

1. Je Swala hili linaweza je kufanikiwa bila kuweka Sheria(BY LAW) Kali dhidi ya MADANGURO DSM?Au ndo kikiza muda ......,.......

Thax mkuu wa mkoa
Madanguro yalikuwepo tangu enzi na yapo hata sasa na hayatakoma kuwepo mpaka mwisho wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la kiroho halitafutiwi majibu kwa namna hiyo.

Hata hivyo nawashauri wahariri wa vyombo vya habari vya Tanzania wawe wanatoa onyo mwanzoni mwa habari au makala yenye maudhui ya kiutu_uzima kwa sababu siku walirusha habari chafu ambazo wazazi/walezi hawakufurahia kutizama pamoja na watoto
 
Makamba Senior Alipambana Na Ombaomba Mpaka Kuwarudisha Dodoma Lakini Leo Wapo Hapo Hapo Dar Es Salaam
Almaruhum Kamanda Matonya Alipambana Na Makamba Sana
Hao Machanguduo Hakuna Anayetetea Ila Wapo Wapo Sana
 
Cha msingi ni yeye pia kukwepa kuingia kwenye kashfa ya matumizi ya huduma hiyo. Zoezi ni dhahiri linaonyesha ni kiki ya kisiasa kwake ili kutaka kumfurahisha bosi wake wa kike. Akumbuke tu naye pia ni mwanaume ambaye anatumia vilevi, matumizi yake ambayo wakati mwingine huchochea tamaa ya ngono zembe.

Ajihadhari sana asinaswe na kamera akiwa chimbo. Asije kubambwa anaponea puchi sehemu, ama litokee danga moja limzushie kashfa ya kushiriki naye ngono hapo awali. Hapo haitakawia naye kuanza kuitwa shemeji wa madada poa.

Akumbuke tu "muosha naye huoshwa"
 
sidhani kama kuwakataza udangulo inasaidia sana .hapa inatakiwa wapewe mitaji wafanye biashara ndipo wataacha udangulo.

tujifunze Mjini MBEYA. Wapiga nondo ambao asilimia kubwa walikuwa vijana kwa kudanganywa na wafanyabiashara washirikina walisumbua jiji kwa muda mrefu.Alipokuja Mh TULIA AKSON akawapa vijana mitaji ya pikipiki na bodaboda ,leo huwezi sikia wapiga nondo tena.ni shwari kabisaaa.
 
Back
Top Bottom