INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,326
- 2,294
Habari humu ndani.
Hoja yangu ni fupi inahitaji maoni yenu.
Ada za vyuo zinalipwa kwa mfumo wa control number.
Nimelipa ada ila kuna mtu nilimuomba anilipie anataka kunilipia kiasi amenipa condition nimtumie control number. Nina shida sana na hicho kiasi na hakuna njia anaweza kunipa mkononi.
Je, kama ulishalipa ada na ikatokea ukazidisha kiasi let’s say ada ni 1Million ikalipwa 1.5 Million, hiyo iliyozidi inaweza kurudi?
Nisaidieni nijue nafanya nini