Je, kama ulishalipa ada na ikatokea ukazidisha kiasi, hiyo iliyozidi inaweza kurudi?

INRI

JF-Expert Member
Oct 5, 2017
1,326
2,294
Habari humu ndani.

Hoja yangu ni fupi inahitaji maoni yenu.

Ada za vyuo zinalipwa kwa mfumo wa control number.

Nimelipa ada ila kuna mtu nilimuomba anilipie anataka kunilipia kiasi amenipa condition nimtumie control number. Nina shida sana na hicho kiasi na hakuna njia anaweza kunipa mkononi.

Je, kama ulishalipa ada na ikatokea ukazidisha kiasi let’s say ada ni 1Million ikalipwa 1.5 Million, hiyo iliyozidi inaweza kurudi?

Nisaidieni nijue nafanya nini
 
Mwambie ukweli kuwa ulishalipa lakini unauhitaji na hiyo hela kama ni mtu mwenye nia atakusaidia.

Au kama vipi mwambie ulikopa kwa mtu hivyo kama vipi amlipe huyo mtu. Hapo utampa details za mtu wako wa karibu (rafiki n.k) atamtumia kama malipo ya deni.
Pacha hapo umeshapata zambi 6.5 kwa mungu, hilo la kumfundisha jamaa adanganye kwamba amekopa sehemu.

Ushauri wako ukitimia na kufanyiwa kazi utaongezewa zambi 3.5 ili zikamilike 10.
 
Mwambie ukweli kuwa ulishalipa lakini unauhitaji na hiyo hela kama ni mtu mwenye nia atakusaidia.

Au kama vipi mwambie ulikopa kwa mtu hivyo kama vipi amlipe huyo mtu. Hapo utampa details za mtu wako wa karibu (rafiki n.k) atamtumia kama malipo ya deni.

Nikimwambia Hataniamini tena Mkuu na ana misimamo mno.

Njia iliyobaki ni anilipie kwa Control Number, Je naweza kuipata?
 
Kwa hapo mkuu sina uhakika wa hilo. Labda watu wa banking systems wanaweza kutoa ufafanuzi kuhusu hilo.

Ila sidhani kama inashindikana.
 
Habari humu ndani.

Hoja yangu ni fupi inahitaji maoni yenu.

Ada za vyuo zinalipwa kwa mfumo wa control number.

Nimelipa ada ila kuna mtu nilimuomba anilipie anataka kunilipia kiasi amenipa condition nimtumie control number. Nina shida sana na hicho kiasi na hakuna njia anaweza kunipa mkononi.

Je, kama ulishalipa ada na ikatokea ukazidisha kiasi let’s say ada ni 1Million ikalipwa 1.5 Million, hiyo iliyozidi inaweza kurudi?

Nisaidieni nijue nafanya nini
Kama malipo ni kwa control number maana yake hiyo hela inaenda serikalini, na pesa ikishaingia kwa mfumo huo, utaratibu wake wa kuipata unakua na mlolongo mrefu na itabidi kuwa mvumilivu sana kusubiri kati ya miezi 6 hadi mwaka mmoja kuja kuipata... Na kwa sababu unaihitaji haraka, haitakua na msaada kwako.
Option nzuri ninayoiona hapo ni kwa sababu uko chuo (na assume sio mwaka wa mwisho), acha alipe, then utaongea na uongozi wa shule ukiwa na proof zako za payment kuwa ume over-pay, so unaomba kiasi ambacho kimezidi kiwe carried over ku cover ada ya semester/mwaka ujao wa masomo (unaandika barua kwa chuo ukiambatanisha proof of payment), naona hii itakua rahisi zaidi. Kwa hiyo utapata ahueni mwaka ujao wa masomo, wewe hutalipa ada, utatafuta hela ya mambo mengine tu ila sio ada. Naona hii itakua rahisi zaidi.
 
Wazo zuri ila siwezi kuchonga na bursar akanirejeshea nikimpa cha juu?
 
Pesa za kuingia kwa control number utoaji wake ni kipengele mkuu...!! Kuzitos sio rahisi rahisi, ndo uzuri/ubaya wa malipo kwa control namba... zimepunguza sana serikali kuibiwa mapato yake.
 
Habari humu ndani.

Hoja yangu ni fupi inahitaji maoni yenu.

Ada za vyuo zinalipwa kwa mfumo wa control number.

Nimelipa ada ila kuna mtu nilimuomba anilipie anataka kunilipia kiasi amenipa condition nimtumie control number. Nina shida sana na hicho kiasi na hakuna njia anaweza kunipa mkononi.

Je, kama ulishalipa ada na ikatokea ukazidisha kiasi let’s say ada ni 1Million ikalipwa 1.5 Million, hiyo iliyozidi inaweza kurudi?

Nisaidieni nijue nafanya nini
Za saizi mjomba.

Kumbe mjomba unataka kunipiga cha juu, dah sahau hyo pesa na naenda kunywea bia. Sikukutegemea kabisa mjomba angu
 
Back
Top Bottom