Je, kama ulishalipa ada na ikatokea ukazidisha kiasi, hiyo iliyozidi inaweza kurudi?

Yaani ww umefocus kudanganya tu na unaukwepa ukweli kwa gharama yoyote! Ww hufai kuhitimu na kukabithiwa ofisi ya umma😡! Ngoja nikufuatilie ili uwe 'blacklisted' in advance!
Wazo zuri ila siwezi kuchonga na bursar akanirejeshea nikimpa cha
 
Kwani chuo upo mwaka wa ngapi? Kama bado unaendelea hiyo pesa wataicarry forward mwaka mwingine wa masomo🤷‍♂️ ila control number 1 inaweza kulipiwa twice kweli? Haitomwambia imeshatumika?
 
Back
Top Bottom