ManCity
Member
- May 19, 2011
- 40
- 14
- Thread starter
- #21
Duuh! kwa hiyo unamaana hayo makabila yana nini au ndo unatuaribia soko?
Siku hizi kabila sio ishu, ishu ni tabia ya mtu na mienendo yake.
Kwa hiyo kaka kama unatafuta mchumba usiangaliea kabila kaangalie hulka ya mtu mwenyewe na malezi gani kalelewa.
Asha: Kuhusu kujua malezi mtu kalelewa kidogo ni ngumu sana siku hizi...maaana kwa siye ambao tayari tupo kwenye labour market muda mwingi twatumia kufanya kazi za MWAJIRI na muda kidogo unabaki kwa ajili ya kufanya huo uchunguzi wa maisha mtu alolelewa...na mbaya zaidi mtu kalelewa BUSH mjini hapa alikuja CHUO baada ya Chuo kaajiriwa na ASILI yake ni vigumu kuipata mana yeye ndo reliable source..na mpaka siku wapeleka POSA kijijini ndo waeza kuipata huku ushainvest vya kutosha..I pray MCHINA atengeneze mashine ya kudetect asili na malezi..