Kama hunaa je??..... Kibongo bongo wengi hiyoo ktu hawana...maana n garama isiyoo yaa lazmaSi kuna charger controller itakua inadisconnect battery ikishajaa
TANESCO mnafanya watu wanakua wabunifu, kuna mdau alibuni umeme wa biogas akapigwa pin anaeuliza nini shida anaambiwa anazalisha umeme bila kibari na hii ya mabetrii vipi mtawaambia wanazalisha umeme bila kibari au itakuaje?Mkuu inawezekana kabisa hata mimi natumia hivyo,nina battery 150Ah na inveter ambayo ina chaji battery umeme ukiwepo inajaza tena full kabisa,umeme ukikata kuna switch nabonyeza tu kwenye hyo hyo inverter naendelea kula maisha na smart tv inch 40..inverter nimenunua 50k ila kwa mjini nina uhakika haizidi 30k
Wataalamu wa Solar huwa wanafunga hicho kifaaKama hunaa je??..... Kibongo bongo wengi hiyoo ktu hawana...maana n garama isiyoo yaa lazma
Ni mdogo sana tumia ujionee umeme wa biogas ndio mwingi Ila hatuna wataalamu wa umeme huo umejaa kwenye madampo yote makubwa nchini ukianza na Dampo la PUGUKwann unasema hiv mkuu ...
Kuna kifaa kinaitwa inverter kinaweza kukusaidia. Kuna chenye mfumo wa hybrid na ambacho hakina.Wakuu habari, ninapoishi umeme upo vizuri tu sema unakatika baadhi ya muda kwahiyo nahitaji backup system lkn sitaki kuingia gharama ya kununua solar panel nataka ninunue battery za solar, charge controller na inverter hapo nakuwa natumia umeme wa kawaida wa Tanesco kuchaji battery za sola.
Umeme ukikatika nitumie battery kupower accessory zangu na umeme ukirudi nichaji battery yani kiufupi ni kama power bank. Je huu mfumo unawezekana au una mapungufu gani?
Kama inawezekana niwe na battery yenye Ah ngapi Vitu ninavyohitaji kutumia umeme ukikatika ni feni, taa moja, kuchaji simu na desktop pc
kwa hiyo kwa mfumo huu itahitajika both rectifier na inverter, Rectifier itumike kwenye kuchaji DC battery from AC power source then ili kutumia battery kwenye vifaa vyangu vya AC inabidi kuwe na inverter si ndioBattery ni Storage...,
Kwahio sababu hio battery yako ambayo inatunza DC (Direct Current) kutoka kwenye Solar ni sawa tu na Battery yako kwenye Simu ambayo inatunza Direct Current (ambayo imekuwa coverted na hio adapter yako kutoka umeme wa Grid / Tanesco ambao ni AC...
Kwa ufupi ndio unaweza ukatunza umeme wa grid (AC) kwenye battery ambayo inatunza DC kwa kutumia kifaa ambacho kina convert AC to DC
Naam utahitaji rectifier kubadilisha AC to DC ambayo ndio inaweza kutunzwa kwenye battery... Ila kumbuka hivi conversion unapoteza nishati...; Kwa ushauri kama ni Taa n.k. nunua Taa zinazotumia DC kama back-up umeme ukirudi utaendelea na vifaa vyako vingine....kwa hiyo kwa mfumo huu itahitajika both rectifier na inverter, Rectifier itumike kwenye kuchaji DC battery from AC power source then ili kutumia battery kwenye vifaa vyangu vya AC inabidi kuwe na inverter si ndio
Wanaotumia solar wanajua adha yake. Labda kama unaweka zile solar kubwa industrial siyo hizi za steps solarKwann unasema hiv mkuu ...
Tv je unatumia dc?Naam utahitaji inverter kubadilisha AC to DC ambayo ndio inaweza kutunzwa kwenye battery... Ila kumbuka hivi conversion unapoteza nishati...; Kwa ushauri kama ni Taa n.k. nunua Taa zinazotumia DC kama back-up umeme ukirudi utaendelea na vifaa vyako vingine....
Naam kuna TV za DC; ingawa TV nyingi zinachukua umeme wa AC (sababu ndio umeme kutoka kwenye GRID) ila umeme huu unakuwa converted to DC sababu componets nyingi kwe TV zinatumia DC; Kwa ufupi anaweza pia kununua TV ya DCTv je unatumia dc?
Okay una their wattage ratings? Like fan 100w (or brand), taa 10w, pc 65w? Better for optimal design.Fan 6hrs,taa 6hrs,pc 4hrs
Mkuu inatumia muda gani kujaa
Mkuu, inverter hii ni size gani? Inasukuma TV ya inch 40? Au una maanisha Charge controller?
Baada ya kuchaji mpaka inaisha kwa tv inachukua muda gani
Battery ni Storage.
Kwahio sababu hio battery yako ambayo inatunza DC (Direct Current) kutoka kwenye Solakwa ninavyojua charger ya PC/Laptop Huwa inachukuwa umeme from AC to DC kupeleka kwenye bettery ya laptop, He ninaweza kutumia hii Adopter ya PC kuchaji Betri yangu ya N100 ni sawa tu na Battery yako kwenye Simu ambayo inatunza Direct Current (ambayo imekuwa coverted na hio adapter yako kutoka umeme wa Grid / Tanesco ambao ni AC...
Kwa ufupi ndio unaweza ukatunza umeme wa grid (AC) kwenye battery ambayo inatunza DC kwa kutumia kifaa ambacho kina convert AC to DC