Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Hata mimi ndoto za hivyo huwa zinanitokea sana!Ndio mambo haya hutokea.mfano ndoto sio kitu cha mchezo,mimi nikiota ndoto karibia kuna kucha huwa ya kweli.japo inahitaji tafakuri kiasi haiwi moja kwa moja.
Hata mimi ndoto za hivyo huwa zinanitokea sana!
Ishara nyingine ni kuwa mtu akiugua akalazwa hospitali, roho yangu ikiwa inasita kwenda kumtembelea hospitalini ni lazma huyo mgonjwa atafariki, hii huwa inanisumbua sana
Mkuu hiyo ya kuwashwa mkono haijanitokea,ila kuna ile kama unakosa amani vile au moyo unauma,baadaye unashangaa kitu kimetokea
....hapo ktk red... kama kweli iliwai kutokea.... jua mpenzio alikua anachakachuliwa.......
me no...