Dah! ulichosema hapo kimenifanya nifikirie beyon ID... ngoja nifikirie alafu nije nikuombe kitu fulani cha zero cost.ulichokitengeneza at zero cost kumuuzia mwenzio dhambi mwali. Natoa bure kwa wote watakaotaka. Vp unataka?
Una mwaka na nusu JF hujajua namna ya kugeuka premium member?Bado kidogo. Nitaiuza nitakapo kuwa Premium Member. Lakini sijui lini na vipi nitakuwa.
Basi Mwali! ka avata kako!!! Na tena kama ni Mwali kweli basi bei yake itakuw kubwa kinoma!!!Dah! ulichosema hapo kimenifanya nifikirie beyon ID... ngoja nifikirie alafu nije nikuombe kitu fulani cha zero cost.
hahahahaha, unaumwa wewe!Basi Mwali! ka avata kako!!! Na tena kama ni Mwali kweli basi bei yake itakuw kubwa kinoma!!!
Mbona nilishapona siku kibao tu!!!! Tena kuna mtu ka pm na kuhakikisha kuwa mie ni mzima!! Ila lete bei! usi "log off"hahahahaha, unaumwa wewe!
Hii haiuzwi.Mbona nilishapona siku kibao tu!!!! Tena kuna mtu ka pm na kuhakikisha kuwa mie ni mzima!! Ila lete bei! usi "log off"
Si ni kama 1,2,3,n.k? basi andikahela ya id yangu ndefu, haiandikiki
Ninaomba ninue ya kwako. Shs ngapi?
Wewe Kin'gasti acha kutuogopesha! Hata kama ingekuwa ya IGP inanunuliwa tu!Unless wewe ni polisi, sikushauri sana. Unaweza kujilengesha anyway...
Yap Yap iko Greed tu for Chating ... lol , Hiyo hapo Kwenye Rangi ya Blue For Sure Umeniacha i Din't Get you Kabisa Labda Afrodenzi Anisaidie Kuelewa!😛oa Lakini ID ya Mkaka kuchukuliwa na Mdada kama Vile Haijakaa Fresh... Au Vipi Wadau!Hapo nimeridhika.... Wanting more than that would be greed, Naomba tu PW....LOL
Hahaha, mtakatifu banaa! Sio, Mello najua hata nikimuomba I'd yake hataninyima