Wifi, nimeacha kabisa kutumia nanilii,lol
Weye nadi tu, najua ukipata huo mshiko na mie somehow ntanufaika,lol
Ha ha ha! Nahisi hata thread akiifungulia tweeter sensors zako zitanasa! Rotfl!
Wapo kibao tu wanaosubiriwa mkuu! we taja bei hata yako watu watabid!.kwel kuna nnaemsubiria ninunue kwa bei yoyote ile tamka bas fanya fasta kabla sijaghairi. Najua unajijua ni........
Hata kwa dawa sikuuzii! :lol:.kwel kuna nnaemsubiria ninunue kwa bei yoyote ile tamka bas fanya fasta kabla sijaghairi. Najua unajijua ni........
Hivi kuna mtu anaweza kununua za ma MoDs?
Mbona bei kama bure? In fact ni bure, si umeona RussianRoulette ametoa bure kwa King'asti na AshaDii?Hivi kuna mtu anaweza kununua za ma MoDs?
Nitaku pm, subiri kwanza nimuulize invisible na MoDs kama ilishawahi pigwa BAN!Ng'wanakidiku... si nimekuambia nitumie PM.... Alafu tupange bei? Vipi umeshindwa? lol
Hata kwa dawa sikuuzii! :lol:
Nitaku pm, subiri kwanza nimuulize invisible na MoDs kama ilishawahi pigwa BAN!
hahahah, basi ngoja ni "log off" nitarudi!Ng'wanakidiku...FYI Paw ni kakangu, kuna Cookie pia.... Kumbuka kua ID yangu nyingine ni Roulette... Hao woote ni Super Moderators... Hivi unafikiri there is any chance of me Breaking the rules?? Naaaah! Mimi so mtiifu mpaka Ban sipati...
Haya basi fika bei....lol
Hii kitu haiuzwi ukipata bure toa bure kama Wahaya wasemavyo vile. Mtu akiipenda nampa tu nachagua nyingine me hupenda nick mbaya mbaya tu kwenye Chat room ili nisipendwe.Duduwasha yako utaunza ngapi Mkuu....lol.. Hebu inadi kidogo basi!
hahahah, basi ngoja ni "log off" nitarudi!
Hii kitu haiuzwi ukipata bure toa bure kama Wahaya wasemavyo vile. Mtu akiipenda nampa tu nachagua nyingine me hupenda nick mbaya mbaya tu kwenye Chat room ili nisipendwe.
ExactlyIn other words unanigaia bure? lol...
Kumbe wewe sio RussianRoulette?
We taja bei ya ID yako, mie tayari watu kibao wamesha ni pm!Nani atakaenunua ID yenyewe imefulia?
We taja bei ya ID yako, mie tayari watu kibao wamesha ni pm!