Nilijua utanambia vibaya, kumbe...Katika majibu yote sikutegemea hili! :lol:hahahah..... Mwali I am very dangerous.... I could be you ujue (labda nafanya hivi kuwachanganya tu! lol)
Nilijua utanambia vibaya, kumbe...Katika majibu yote sikutegemea hili! :lol:
Hivi hua unakasirika Auntie?
Nilijua utanambia vibaya, kumbe...Katika majibu yote sikutegemea hili! :lol:
Hivi hua unakasirika Aunty?
aaah' side effects zile za dawa mseto za kitoto.... Kwani kuna ubaya kweli? lol (hebu nipatie you best Wifi of mine...lol)
Kwa lugha ya watu wazima nimejua sio mimi, na kama sikosei tayari nimemjua huyo mwenye hiyo ID you want so badly... lolRR, asante sana kwa roho yako safi. Nnavyokupenda, I want you to have your I'd. So plz keep it, I will treasure this,lol
Usiombe siku ukamuona kakasirika huyu! Ushawahi kuona simu ama laptop unasoma posts za jf afu inatoa vumbi, unapiga chafya tu? God forbid!
This is for ur ears only, hii I'd inatafutwa na na mafia mob, shhhhh! Isingekuwa kakako, wangeshanitenda ubaya!
Lahaullah wallah qwattah!Mwanzoni nilikua nakasirika saana.... As time went by nikagundua kua I am only linked with unique and Great personalities... Na members with great contributions hapa JF in one way or another.... Nikaja realise haitakiw nichukie.... it is an honor.
:focus:
Nishauri... nimeamua kuuza account, how much do you think iko worth kama kianzio?
Kwa lugha ya watu wazima nimejua sio mimi, na kama sikosei tayari nimemjua huyo mwenye hiyo ID you want so badly... lol
Ni vitu gani vinapandisha hasira yake? leo nataka nimchokoze hadi apigwe Ban, akapumzike weekend! lolUsiombe siku ukamuona kakasirika huyu! Ushawahi kuona simu ama laptop unasoma posts za jf afu inatoa vumbi, unapiga chafya tu? God forbid!
Unaitaka sababu :gossip:....Wewe sijawahi kukupigia hesabu hata ya kukukwapulia avatar yako, it suits you,lol!
Ila huyo nnayeitamani I'd yake wala humjui. Let's narrow this down; why do you think I'd want hiyo I'd?
Ipe bei mkuu! Elfu ishirini mia mbili tisini na sita?Lahaullah wallah qwattah!
Usithubutu kuuza hiyo ID, hata ukitishiwa kufa.
Au basi kabla ya kuuza futa PM zoooooooote, hasa zile zenye kunihusu mimi na fulani... lol
Mwali soma hii thread umuone AshaDii, na hapo she is not mad, she is just a bit upset...Ni vitu gani vinapandisha hasira yake? leo nataka nimchokoze hadi apigwe Ban, akapumzike weekend! lol
hahahaaha...... Dah! Wifi nahisi umenisingizia.... When did I ever kasirika like that?
Alafu umuulize na kaka Paw atauza JF a/c kwa kiasi gani, kuna watu wanipigia simu hapa...
No wonder wewe peke yake ndio wamuweza kaka.... Mafia? Khaa!
Lahaullah wallah qwattah!
Usithubutu kuuza hiyo ID, hata ukitishiwa kufa.
Au basi kabla ya kuuza futa PM zoooooooote, hasa zile zenye kunihusu mimi na fulani... lol
Kwa lugha raisi: Ukimpa milioni, mimi nitampa milioni mbili anilindie siri.Ipe bei mkuu! Elfu ishirini mia mbili tisini na sita?
Niuzie basi!Dear ndio maana nikiuza nataka niuze kwa dakika 30 tu! Yaaan kiasi kwamba yule alo nunua awe overwhelmed kwa atakayoyakuta by the time anataka atulie aanze kuperuz mda unakua umeisha! lol.... My PMs zikiwa disclosed... ni beyond JF...lol... Ni hatari kwa afya ya most members...lol.. Mimi the most.
Hahahahah!!! Basi ngoja ni PM ili anipe bei. halafu kasema ataiuza kwa dakika 30 tu!Kwa lugha raisi: Ukimpa milioni, mimi nitampa milioni mbili anilindie siri.
ID kitu gani? si ni jina tu? ila PM sasa mama yangu weeeee....
Mwali soma hii thread umuone AshaDii, na hapo she is not mad, she is just a bit upset...
Unaitaka sababu :gossip:....
Nimepatia?