Je, huyu mwanaume ana malengo?

Je, huyu mwanaume ana malengo?

Jamani habari zenu,
Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.

Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.

Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.

Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.

Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.

Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.

Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.

Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Mtu huyo itakuwa ni wewe, unamsingizia rafiki yako. Kuwa mkweli.
 
Sasa hapo Huyo mdada haelewi nini??? JAMAA anaishi kwao unataka amuoe wakaishi nae kwao au Wadada mpo desparate sana na ndoa sijui nani kawalogaaa linapokuna suala la Kuambiwa na mwanaume ntakuoaa mnapagawa na kuwa mazuzu kabisaa...!! Mnadhani kuoaa ni kuchangisha hela na kufunga harusi kengee maji... Mwambie ampe jamaa mahari akamtoleee maana anaitaka sana ndoaa ila kama huyo dada ana akili timamu Hakuna ndoa hapoo ni Kupigana mitii tuu..
 
Jamani habari zenu,

Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.

Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.

Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.

Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.

Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.

Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.

Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.

Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Sasa hapo mbona majibu yapo wazi!!?kabisa,Swala lahisi kama hili linakushinda vipi kuamua??,na tekinolojia yote iliyopo leo,unashindwaje kufanya uamuzi kwenye jambo simple kama hili?
Kizazi hiki mnashida sana,hapo wewe. endelea na maisha yako,huwezi kuweka pause kwenye maisha kisa mtu !!kwanza Bado anakaa kwao,wewe unampa "kila kitu"anakula mpaka anakomba!!
Kwani uko unaposafiri hakuna wanaume!!?valishwa Pete achana na huyo fala,
 
Jamaa amesoma na ana masters ila ni mjasiliamali, ana hela ndogo kuliko mdada, ila anahudumia familia yake vizuri, mamake na dadake hawakosi kodi na kula yeye ndio anasimamia shoo ila kwa demu wake hata kitunguu hajawahi kupeleka ila akienda lazima aulize kumepikwa nini?
Jamaa ni mbinafsi wala sio hata ubahili. Ni mchoyo tu haiwezekani una hela usitumie na mpenzi wako jamani. Demu anafanya kazi wapi?
 
Jamani habari zenu,

Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.

Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.

Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.

Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.

Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.

Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.

Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.

Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Mapenzi hua ni ya muda mrefu, ila ndoa hutokea tu ghafla, kama ni mtu mwingine au ni huyo huyo bwana, mala zote mipango mingi huishia njiani, acha mambo yaende na ikifika mahala ni sehemu sahihi itakua, iwe ni kwa huyo huyo bwana au mtu mwingine, swala hua ni upendo basi, na hii wanawake wengi hukosea kusema muda unakwenda anachelewa kuzaa, anaweza akaenda sehemu isiyo sahihi Kwa kigezo Cha kuwahi kuzaa na kua kwenye ndoa na akaja kujuta tu, isipokua kama hata na huyo jamaa bado anaishi kwao maana yake hawa unawaongelea ni watoto watoto, mwanaume anadanganya nyumbani kua yupo shift ya usiku? Mwanaume anakaa kwake na ana maamuzi yake, huyu ni mtoto wa kiume na si MWANAUME

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
 
Jamani habari zenu,

Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.

Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.

Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.

Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.

Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.

Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.

Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.

Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?

Kama jamaa anaitwa Alberto mweusi hivi mtu wa Mbeya njoo PM
 
Ndio raha ya kupendwa hio huombwi hata mia then you monopolize that piece of cupkake, nobody hits it but you!
Na ukute kuna jamaa ana mpenda demu na ama malengo nae na demu ana mlia tu pesa zake na penzi hapewi.
 
Hahahaha hilo ni uhakika kabisa, demu anampenda mshikaji ila mwamba hayuko serious.
 
Jamani habari zenu,

Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.

Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.

Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.

Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.

Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.

Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.

Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.

Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Ana date na last born😁
 
Niko
Kama upo serious tuma wasifu wako dm nimtumie akikubali nakupa namba
serious ila pia nahitaji nayeye awe serious juu ya hilo. No hide and seek games. Nipe details zake DM akiwa kanyooka ndoa kwa DC chap mambo yasiwe mengi.
 
Jamani habari zenu,

Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.

Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.

Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.

Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.

Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.

Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.

Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.

Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
yy na jamaa yake bado watoto waendelee kucheza tu
 
Back
Top Bottom