Je, huyu mwanaume ana malengo?

Je, huyu mwanaume ana malengo?

Achana naye usimfukuze ila kaa nayr chini mwambie .
James baba yangu tumeishi kwa muda mrefu nakwa sasa nimeona tuishie hapa nakutakia maisha mema.
Nenda kanisani au msikitini funga kwakuomba muombe Mungu akupatie mume sahihii ama nenda ja shekhe kaangalie nyota yako ni yakuolewa na mwanaume gani??
Basi huyo kaoa na anamke na watoto wakutosha .
Ndio maana anajificha naanakuomba jela anapeleka kwa mke wake hiyo nyumba sio ya kwao ya kwake na waliomo humo ndio familia yake.
 
Hii kali ya mwaka...sasa yule enginer vipi tena...sii mlikuwa mnaenda kufunga ndoa zenji
Aha huyo ndoa itafungwa tu ila kama nikiwa humo naweka tu mguu mkoja nakufanya mawasiliano hayo ili ikivunjika wewe nitakuwa nilishampata nakama nimedumu naye inshallah
 
Ana miaka 37 huyo mwanaume na mwanamke ana 32yrs
Mume wa mtu huyo bila kupepesa macho. Huko kuaga kwao eti anaenda shift ya usiku kisha kuja kwa kujificha ficha ndo mjue anaaga kwa mkewe. A 37yrs old man hawezi ficha mahusiano yake kisa tu hana kipato kikubwa, tena ukizingatia ni mjasiriamali. Mnachezwa nyie!
 
Achana naye usimfukuze ila kaa nayr chini mwambie .
James baba yangu tumeishi kwa muda mrefu nakwa sasa nimeona tuishie hapa nakutakia maisha mema.
Nenda kanisani au msikitini funga kwakuomba muombe Mungu akupatie mume sahihii ama nenda ja shekhe kaangalie nyota yako ni yakuolewa na mwanaume gani??
Basi huyo kaoa na anamke na watoto wakutosha .
Ndio maana anajificha naanakuomba jela anapeleka kwa mke wake hiyo nyumba sio ya kwao ya kwake na waliomo humo ndio familia yake.
I second you.
 
Jamani habari zenu,

Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.

Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.

Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.

Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.

Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.

Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.

Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.

Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?

Kwa hayaa maelezo huyo kaka anaweza kuwa ni mume wa mtui mna kama huyo unaesema ni rafiki yako hajui jamaa anishi wapi,, hawajui ndugu zake na huyo kaka anaenda sana kwa demu basi prob kubwa hiyo ni mume wa mtuu achunguzee
 
Jamaa inawezekana kuwa anampenda kweli ila hana ramani kwa sasa. Hujazungumzia jamaa ni graduate au ana mishe gani? Other than that muuni anainjoy economies of scale.
Sasa ni bora amuambie ukweli mwanamke aamue mapema anabaki ama anasepa. Ila mimi nahisi ni muhuni tu huyo jamaa yake.
 
Kwa hayaa maelezo huyo kaka anaweza kuwa ni mume wa mtui mna kama huyo unaesema ni rafiki yako hajui jamaa anishi wapi,, hawajui ndugu zake na huyo kaka anaenda sana kwa demu basi prob kubwa hiyo ni mume wa mtuu achunguzee
Mimi naona shosti anapoteza tu muda hapo asije shtuka akiwa kachelewa kama mwenzake hapa. Afanye maamuzi mapema.
 
Usizunguruke saana, unamsingizia mdada asiyekuwepo,
Kifupi mchizi ni msanii, anakuyeyusha.

Njoo kwangu, ukija kesho Jumatatu asubuhi, mchana naenda kukutambulisha maskani, ukija usiku asubuhi naenda kukutambulisha.

Wewe tu, ila ukija usiku ndio vizuri , ili kesho uamkie kwa mkweo maana anapikaga maandazi matamu saana na chapati zimeenda shule.
Khaaa wewe huyo. Nitakusemelea
 
Vipi umepigwa za uso tena🤣🤣🤣🤣 sii uachane tuu na mambo ya mapenzi ufocus kwenye memes tuu🤣🤣🤣
Sijapigwa za uso ila huyo mtu hana uhandsome wowote ule 😃
 
Sijapigwa za uso ila huyo mtu hana uhandsome wowote ule 😃
🤣🤣🤣🤣 Umeamua this time uchumue anaye pumua tuu. Sasa sii bora ungenikubalia mie ambae ni short but handsome
 
Back
Top Bottom