Je, huyu mwanaume ana malengo?

Je, huyu mwanaume ana malengo?

1. Hujui ukweli kama unataka usadiwe kiserious njoo pm nikuulize maswali nipo serious .
Au kama unaweza nijibu hapa huyo mtu anaumri gani hilo kwanza
 
Mapenzi hua ni ya muda mrefu, ila ndoa hutokea tu ghafla, kama ni mtu mwingine au ni huyo huyo bwana, mala zote mipango mingi huishia njiani, acha mambo yaende na ikifika mahala ni sehemu sahihi itakua, iwe ni kwa huyo huyo bwana au mtu mwingine, swala hua ni upendo basi, na hii wanawake wengi hukosea kusema muda unakwenda anachelewa kuzaa, anaweza akaenda sehemu isiyo sahihi Kwa kigezo Cha kuwahi kuzaa na kua kwenye ndoa na akaja kujuta tu, isipokua kama hata na huyo jamaa bado anaishi kwao maana yake hawa unawaongelea ni watoto watoto, mwanaume anadanganya nyumbani kua yupo shift ya usiku? Mwanaume anakaa kwake na ana maamuzi yake, huyu ni mtoto wa kiume na si MWANAUME

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app

Ana miaka 37 huyo mwanaume na mwanamke ana 32yrs
 
Mwamba bado anasubiria michongo ikae sawa huyo bidada atulie.

Wakati mwingine huwa tunafanya delaying tactics ili kuweka mambo sawa.

Usikute msela anaweka sawa ghetto lake ili siku akimpeleka mdada kumtambulisha asiende kulala chini au mzungu wa nne na mawifi zake.

Pengine wazazi wa mwamba wako kwenye conflict anasubiri hali ya hewa itulie ndiyo ampeleke manzi.

Wanaume ndivyo tulivyo tatizo lenu wadada wa siku hizi mapenzi mnajifunza kwenye movie za kifilpino na Korea ndiyo maana mnakuwa na papara.
Mkuu umesema ukweli kabisa !!
 
Nyota yangu na yako haitoendana mie nimeambiwa nyota yangu nikuolewa na muarabu hivi saivi na mpango wa kutafuta marafiki wenye warabu niende ili nipate mpenzi anioe
Hii kali ya mwaka...sasa yule enginer vipi tena...sii mlikuwa mnaenda kufunga ndoa zenji
 
Kwanza pole maana hili ni lako tukiachana na kimvuli ulichotumia.
Nikuulize, unataka ndoa na mwanaume unaemtuhumu kwa yote hayo? Unajua ku-hack simu ya mtu ni kosa kisheria? Mtu anaejificha akitoka kwao ndoa inatoka wapi hapo? Hujui kutofautisha mario na mchakarikaji? Umeamua kufuga broila dada hakikisha linapata huduma zote.
 
Kwanza pole maana hili ni lako tukiachana na kimvuli ulichotumia.
Nikuulize, unataka ndoa na mwanaume unaemtuhumu kwa yote hayo? Unajua ku-hack simu ya mtu ni kosa kisheria? Mtu anaejificha akitoka kwao ndoa inatoka wapi hapo? Hujui kutofautisha mario na mchakarikaji? Umeamua kufuga broila dada hakikisha linapata huduma zote.

Ushauri mzuri sana huu
 
Back
Top Bottom