Je, huyu mwanaume ana malengo?

Je, huyu mwanaume ana malengo?

Jamani habari zenu,

Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.

Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.

Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.

Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.

Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.

Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.

Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.

Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Amuoe huyo huyo.Au amuache
 
Kama rafiki ako yupo vzr kiuchumi basi amwezeshe uyo mwamba mchongo au connection ya kazi km amesoma ninachokiona hapa uenda mwamba bado uchumi haujakaa sawa tupo vijana wengi mtaani tunapitia hali kama ya uyo mwamba
 
Pole mwaya ........ insha'Allah utapata mume..........sijui rafiki yangu sijui nini........huyo ni wewe mwenyewe.......pm kama uko serious
 
Na utakuta huyo dada kuna majamaa yana future na malengo ya kumuoa kabisa lkn anawachomolea. Mimi sina cha kumshauri, muache apambane na huyo marioo wake apewe mimba akimbiwe aongeze idadi ya single mothers wa kwenda kumchangia mwamposa mjini
 
Wakati sie tunaambulia vibuti tuu huku pm kutoka kwa warembo wa JF. Ila huyu mrembo atakuwa desparate sana na ndoa....i suspect demu hana tako🤣🤣🤣🤣
Naunga mkono hoja,yupo yupo tu na sura ya baba ake ndo maana mshikaji amemtawala hivyo,yaani hata kutongozwa ni mara moja kwa mwaka,tena atakuwa anatongozwa na wazee
 
Na wanawake mkikolea mnahongaga balaa, yani unapigwa mizinga na babe babe nyingi. Unajikuta unagharamia shopping na kila kitu. Wenzio wakimkandia bwana wako unawaona wachawi tu hawajui tu jinsi anavyokukanda. 😂😂😂!!!

Kila ukiwaza kumuacha unasema hebu niacheni kidogo. Nina aunt flani alikolea kwa mjomba wangu flani late 90's mtoto alikuwa na Clearing and Forwarding company hela za bandari zimekolea.

Mjomba alikuwa na mwili kapanda hewani "biggie steve" swaga zake sasa akipiga pamba za kihuni unaweza sema fat joe. Akitupia suti unaweza sema ni mkurugenzi flani. Ukimix na ujanja ujanja wa mjini yule mama wa kichaga alikwisha.😂😂😂 Hela zote akipata mjomba anaishi nazo, leo ana laki 8 kesho hana ata mia ni bata kwa kwenda mbele.

Mjomba ukimcheki katakata kama black america akikupanga huruki jamaa alikuwa kama pussy magnet. Yani demu anasetiwa na kisha kuliwa chap sababu swaga zake zilikuwa next level. Alikuwa hapigi wanawake makapuku. Yeye ni boss ladies tu, ama wake wa maboss! Aisee nikikumbuka enzi zile huwezi amini kwa hali aliyonayo sasa. Ujana maji ya moto.

Ila hela za wanawake amezila sana jamani, zinaliwa tena in millions sio buku buku.
Angalau hata akikaa hata chini ya mwembe anacho cha kukumbukia ujanani
 
Jamani habari zenu,

Naomba ushauri kwa niaba ya rafiki yangu mmoja amejikuta yupo dilema juu ya haya mahusiano yake.

Amekua kwenye mahusiano na mwanaume kwa miaka miwili sasa. Mwanaume huyo hajawahi kumsaidia kwa chochote wa kumpa chochote huyo mwanamke , hata chokoleti zawadi hajawahi.

Mwanaume huyo anachojua ni kwenda nyumbani kwa mdada kula na kulala na sometimes mdada akisafiri , mwanaume huyo anamuangalizia nyumba na vinginevyo.

Jamaa huyo amekua akimdanganya mdada kwa nyamati tofauti tofauti juu ya suala la ndoa ama kutambulishwa kwao, alimdanganya huyo mdada kwamba mwezi wa nne 2022, atamtambulisha na muda ulivofika jamaa akabaki kimyaaaa, baadae akamwambia mwezi wa nane anaona jamaa haongelei lolote kuhusu hilo jambo.

Mdada wa watu amechoka sasa, haelewi kma jamaa anampenda au anamtumia tu. Jamaa hataki story za ndoa akigusiwa ni kama ana panic. Jamaa bado anaishi kwao anavyosema so akija kwa huyu mdada ni kama anajificha ficha. Anawadanganya kwao yupo kazini shifti ya usiku.

Inshort huyo dada haelewi position yake na hajui anamuulizaje zaidi huyo mkaka.

Na mkaka huyo amekua hodari ku hack simu ya mdada na kufatilia msgs na maongezi yote. Incase mdada akichati na mwanaume hata kidogo jamaa anagundua nakuja kumwambia kila kitu.

Anaomba ushaurikwa umri wake umeenda na yeye anataka ndoa na jamaa hamuelewi kabisa. Je hapo kuna mapenzi? Au jamaa anapitisha muda tu?
Kwa kifupi unaelewa situations kuliko hata rafiki yako aliyokutuma ila nakushauri kuwa na subira muda utafika mbivu na mbichi zitajulikana
 
Achana naye usimfukuze ila kaa nayr chini mwambie .
James baba yangu tumeishi kwa muda mrefu nakwa sasa nimeona tuishie hapa nakutakia maisha mema.
Nenda kanisani au msikitini funga kwakuomba muombe Mungu akupatie mume sahihii ama nenda ja shekhe kaangalie nyota yako ni yakuolewa na mwanaume gani??
Basi huyo kaoa na anamke na watoto wakutosha .
Ndio maana anajificha naanakuomba jela anapeleka kwa mke wake hiyo nyumba sio ya kwao ya kwake na waliomo humo ndio familia yake.

Asante kwa ushauri huu mzuri sanaaaa
 
Mume wa mtu huyo bila kupepesa macho. Huko kuaga kwao eti anaenda shift ya usiku kisha kuja kwa kujificha ficha ndo mjue anaaga kwa mkewe. A 37yrs old man hawezi ficha mahusiano yake kisa tu hana kipato kikubwa, tena ukizingatia ni mjasiriamali. Mnachezwa nyie!

Fact
 
Back
Top Bottom