Je, huyu mwanaume ana malengo?

Je, huyu mwanaume ana malengo?

Wavulana Wana shida Sana....unajua unaweza kuwa na umri mkubwa lkn bado ni mvulana...

Kuna viashiria ambavyo sio vizur kutoka Kwa huyo mvulana.....amekuwa muongo mara kadhaa....na kibaya Zaidi akiambiwa kuhusu ndoa ana panic....kwanini apanic?

Halafu anajisahaulisha kana kwamba hakuna Jambo linaloendelea....sikia hata kama hajajipanga bado Kwa Mda ambao mmekuwa pamoja angekuwa muwazi kuwa mwenzangu usione kimya najipanga Kwanza kuna moja mbili tatu...wanaume ndio wanafanya hivyo...at least anakuweka ktk mazingira Fulani ambayo yanakupa moyo.

Na kama angekuwa seriou walau hata angekutambulisha Tu Kwanza kwao walau ujue unajulikana kwao..

Sikia sitafuni maneno hapo hakuna ndoa kabisa utakuja kusema....nipo pale nasuburia matokeo ya Sensa tujue tupo milioni ngapi now!
Umenena kitu cha msingi sana ,,,akheri aseme kuliko kuwa kimya,,,,halafu pia mwanaume hana sababu ya kujipanga kuoa muda wowote akiamua inawezekana,,maisha yanatengenezwa ndo mana tukaumbwa ke na me.
 
Back
Top Bottom