Je, huyu mwanamke ameniroga?

Je, huyu mwanamke ameniroga?

Nahis hivo ila nitaishije Mimi iwapo itatokea hivo

HAKIKA SITAISAHAU JF

kwan nilimpatia humu
 
Huyo mwanamke kakalia uchumi wa kuweza kumpeleka hadi kwenye sayari yoyote anayotaka. If proven, she can be the richest woman in the world.

Hakuna mwanamke hatakuwa mteja wa hiyo product....Ila kama haina antidot basi ndiyo kizazi kinaweza kuteketea!
 
Kuna jamaa yangu alifanyiwa kitu kama hicho na demu wake.Hali hiyo hutokea wakati unaenda kugegeda unakuta tayari ashaweka dawa kwenye papuchi kwahiyo mpaka yeye apende kukutoa hali hiyo.
Maana siku ya kutolewa hali hiyo jamaa alisema Dem alipaka dawa kwenye papuchi halafu ndo akampa mchezo. Baada ya hapo akaenda kuchepuka ikafanya kazi na kwingine kama kawaida.
 
Dah sijui nianzie WAP Mimi nipone
 
Kamanda huo ni uchawi halisi bila kutafuna maneno! Kuwa makini usimshtue kama unajua uovu aliokufanyia. Uko tayari kumwacha kabisa? Kama unampenda sana na hauko tayari kumwacha utakuwa kifungoni milele! Kwa habari ya migodi mipya utaishia getini tu Manta hufiki
 
sasa kama yuko hupa jf akiona hii thread ndio ataiongeza nguvu zaid maana anajua kumbe inafanya kaz! kaz kwako
 
Jaman huyo kakufunga tiyal mkuu ila kaa nae ujalibu zungumza nae uone atasemaje yy binafsi
 
Jaman huyo kakufunga tiyal mkuu ila kaa nae ujalibu zungumza nae uone atasemaje yy binafsi

Ni mbish balaa na nahis ameshajua . alichonifanyia.

Naamini nitafunguliwa na hiki. ..kifungo

Hakika sitaisahau jf

Nilimpata humu jf mwaka Jana mwishon
 
Do a see mkuu pole sana kweli inabidi tuwe makin na wanawake tunaowaoa anajua lkn awez kusema anajua akisema kitanuka ila mkazie atasema tu jalibu kumtisha kuwa unamuacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom