Naomba namba zake....
Naomba namba zake....
Kwa nini unakimbilia kurogwa?
Akikupa unifowadie namimi
Tukupe msaada ili uchepuke dogo? Kama na yeye hachepuki ni bora anakuokoa na Magonjwa kibao , Au Mwambie akufungue dogo... oh by the way, baadhi ya wanawake wa Kinyiramba na kinyaturu wanapenda sana miziziology.
Nitatia aibu tu
ukipewa kuwa makini kwenye vipimo..Dushe lisije kushindwa kufanya kazi hadi kwako..Ukaanza kusumbua
Hahaha i wish
But i dont do hizo sp
Nilikua nachangamsha jukwaa
Ila inaelekea watu wanafaidi hayo madushe mpaka anakuendea kwa mtaalam?
What so special?kwende ndude hzo?
Au UNA ELA?
Huo mchezo upo sana.,hasa kwa wanawake wa makabila flan...,Nenda taratibu Aroon.,na ukithubutu kumuacha jongoo hatapanda mtungi milele..,be careful nae huyo mdada
Teh Teh najua kila mwanamke ana wish mwanaume wake angekuwa hivyo...Naomba namba zake....