Je, huyu mwanamke ameniroga?

Je, huyu mwanamke ameniroga?

Kwasasa simu yake haina uwezo wa kuingia jf

Huyo aliyekushauri kuhusu coca na zanzi usifate ushauri wake utaumia...tatizo lako linatokana na ushirikina au linaweza kuwa la kisaikolojia,lakini si lishe wala maumbile na pia si lakwenda hospital
 
Do a see mkuu pole sana kweli inabidi tuwe makin na wanawake tunaowaoa anajua lkn awez kusema anajua akisema kitanuka ila mkazie atasema tu jalibu kumtisha kuwa unamuacha

Atakuuliza umejuaje kwani umechepuka hanny?
 
Ni mbish balaa na nahis ameshajua . alichonifanyia.

Naamini nitafunguliwa na hiki. ..kifungo

Hakika sitaisahau jf

Nilimpata humu jf mwaka Jana mwishon

Unafkiri watu wote wa jf ni binadam,wengine majini ndugu utaumia
 
Do a see mkuu pole sana kweli inabidi tuwe makin na wanawake tunaowaoa anajua lkn awez kusema anajua akisema kitanuka ila mkazie atasema tu jalibu kumtisha kuwa unamuacha

Ananiambiaga swala la kumuacha nisahau kabisa...
 
Huyo aliyekushauri kuhusu coca na zanzi usifate ushauri wake utaumia...tatizo lako linatokana na ushirikina au linaweza kuwa la kisaikolojia,lakini si lishe wala maumbile na pia si lakwenda hospital

Asante ndugu ....hata hiyo zanzi siijui
 
Pole sana kuna watu wanaroho mbaya sana mungu katumba tu wazima mtu Kama huyo mwanamke anampinga mungu!!! Sali sana mungu akutoe kwenye hicho kifungo
 
pole sana hebu jaribu kumuuliza hayo mavuzi yako anayoyaweka kwenye rambo huwa anayafanyia kazi gan
 
Nahis hivo ila nitaishije Mimi iwapo itatokea hivo

HAKIKA SITAISAHAU JF

kwan nilimpatia humu

Haijalishi ulimpatia JF au kwingine.

Halafu,umeanzisha uzi unaomba ushauri huku ukijua naye ni m-JF?

Mtazamo wangu:

Faida
: Kama yeye hachepuki, hiyo imekaa vizuri. Ni wewe na yeye tu "for life".

Hasara:Wewe amekuwekea "hand-break" ila kama yeye anateleza kwa mabuzi, hakika unahasara maradufu.

Mwisho: Kila kitu hutokea kwa sababu.

Umejifunza na wengine watajifunza kupitia kwako...
 
Sawa usemayo

Ila kwasasa yy haingii jf anatumia simu yakawaida

Ndio maana. Nikapata ujasiri wa kuja kuomba ushauri

By the way naiman nitatoka kifungoni
 
Unaamini hivyo kwamba haingii JF?

Kwani hawezi kuingia JF kwa namna nyingine zaidi ya simu hiyo, mfano akienda "internetcafe", simu ya rafiki yenye

"internet" wa kutaja machache?

Hata hivyo, nakutakia kupona salama, ila si kwa lengo la kuchepuka...
 
Sio mjuz sana wa internet cafe...kwan hata jf alinipata kwa kuperuz bila a/c ...Mimi ndio nilimfungulia a/c jf ...kwan hata akitaka kuingia jf namsaidia Mimi

Naiman nitarejea salama ...na sitachepuka
 
Mkuu, Unless you are not serious then your post is meant to be a teaser and, sounds like a paradox. Why? Ulimpata JF. Wakati huo

huo wewe ndiye uliyemsaidia kujiunga JF?

Anyway, nakutakia salama na kama hutochepuka, kipi sasa kimepungua wakati kwa huyo nguvu zako ziko kama kawaida?
 
Kumbuka sio wana jf wote wana a/c yeye alikuwa anapitia na kusoma threads tu

Alifungua a/c rasmi tulipokutana

Hata Mimi nimeanza jf kwa kiperuz mwisho nikafungua a/c

Nadhan umenipata mkuu
 
Ni tatizo lako la kisaikolojia, huyo mnyiramba ndo wa kwanza wewe kumgonga!
Alafu kiasi fulani lazima wewe ni mzee wa nyetto au ulikuwa mzee wa nyetto kwa sana!
Sasa siku ukifanikiwa kusimamisha nguzo, watajuta! Ishu ni wewe na saikolojia yako wala haujarogwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom