Je, huyu anafaa kuolewa

Ni zaidi ya 1.5m
Dah bro ,unafeli Sana hv hiyo nishati ya kuendelea kumtumia hela mtu uko Naye mbali unaitoa wap, na mbona ushaona ishara zote kuwa huyo hakutaki Ila bado unaforce tuu Tena kwa kutuma miamala , dah bro .....
 
pole sana kiongozi
hapo kuna weza kuwa na mambo kadhaa ya kuhisi ILA
1. Lenye uzito zaidi kwangu ni kuwa mbali na mpenzi wako
2. kama ameshamaliza chuo anapenda kusikia mipango ya kupeleka mapenzi yenu mbele; mfano lini mngependa kuoana/mtaishi wapi mkioana na yeye atoe mawazo yake nk
3. Sitaki kuwalaumu sana dada zetu kwani wakati mwingine wanapata changamoto kubwa sana; fikiria mtu uko huko Kenya yeye yupo Dodoma, na vijana wanamfuata pengine kutaka kumuoa na hana hakika uko ulipo ukoje mf; kama uliweza kuishi naye kwa miezi mbili pengine unaweza kuishi na mwingine tena; Je akikusubiri ukabadili mawazo na yeye amesha achia fursa zinazojitokeza nk; Wanapata changamoto sana. Nionavyo mimi changamoto KUBWA kuliko zote ni umbali...
 
Dah bro ,unafeli Sana hv hiyo nishati ya kuendelea kumtumia hela mtu uko Naye mbali unaitoa wap, na mbona ushaona ishara zote kuwa huyo hakutaki Ila bado unaforce tuu Tena kwa kutuma miamala , dah bro .....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba naona unavyoumiaa...!!
 
Na Mimi nafikiria Kama wewe vile lkn kingine wakati mwingine huwa nakuwa natoa maneno ya kumuumiza sana, na ya dhihaka hasa nipatapo hasara kwa matendo yake
 
Mkuu niseme tyu ukweli kumchana huwa namchana sana, na nikimcha Mara nyingi huwa anapaniki na kukata cm. Tunakaa ata miez 2 bila kuwasiliana kisha anajirudi tena
Anatakiwa akue kiakili. Ukikaa naye nyumbani kama mke, mnyooshe kweli kweli. Ila umzalishe pia. Mtoto atamkuza akili pia
 
Sure kaka Long distance r/ship Zina shidah sana ,Hawa dada zetu sometime tunawalaumu tuu ,wakati na wao wako underpressure na swala la umri na kuolewa n vitu ambavyo wako very sensitive navyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baba naona unavyoumiaa...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ni bonge la kiande km hii story yake n ya kweli ....
 
Naona kama kuna chai hapaa...!! Maana ubwege wa hivi ni wa miaka ya 1900 hukoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa ni bonge la kiande km hii story yake n ya kweli ....
 
Sure kaka Long distance r/ship Zina shidah sana ,Hawa dada zetu sometime tunawalaumu tuu ,wakati na wao wako underpressure na swala la umri na kuolewa n vitu ambavyo wako very sensitive navyo
Distance never kill my relationship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…