Je, huu ni mwanzo wa Tanzania kuporomoka kiuchumi?

Uchumi wa Tanzania unakua sana
Rais magufuli wetu amewanyosha mafisadi sasa wajinga kama nyie mliokuwa HAMJUI Kulipa kodi mnabaki mnaweweseka


Go on magufuli
Watanzania millions 8 na zaid tuko pamoja na wewe
Mungu ibariki Tanzania
 
Good unakujakuja sasa maana nimeomba elimu, ok vip wenye mahoteli kupunguz watu, baadhi ya viwanda na serikali kama muajiri mkuu kusitisha ajira mpy nini madhara yake mkuu kwa miaka 2 ijayo
Hapa serikali inaelekea kuvuliwa nguo haina budi kuchutama na kuangalia nini cha kufanya.

Lakini kwa kujifanya huoni impacts iliyopo miguuni mwako na kuangalia mita 100 mbele ni kukengeuka!
 
Mkuu, Naamini na wewe unajitahidi sana uonekane kwenye 18 za wakuu ili angalao upate kacheo flan hivi. Sawa endelea kujibaraguza huenda nawe ukaukwaa hata u katibu kata.
Tumeshaomba, mtu usije hapa jf na kutoa hoja za mkupuo. Ati "utawala umefanya mengi" taja kitu flan kilichofanywa. Hiyo ndio kutetea kilichofanywa sio yamefanywa mengi. Mimi kwa siku moja naamka, nanawa uso, nanywa chai,naenda shamba, nalima, nang'oa magugu etc. Hayo sio mengi?? Haya, taja yaliyofanyika kwa kipindi hiki utaje na yalofanywa kipindi hicho. Bila data jf just keep quiet.

Unataka ulinganishe miaka 10 ya JK na miezi 9 pekee ya Magufuli? Sawa, nenda Tanroads ya mkoani kwako uone tender ambazo wamezitangaza kwa mwaka huu wa fedha.. Tayari kuna ndege mbili zinakuja pale ATCL, Inflation rate imeshuka, shilling imebakia stable against dollar kwa karibia miezi 7 sasa, hii ni mara ya kwanza kutokea Shilling imekaa stable kwa kipindi kirefu hivyo..
 
Udororo wa kiuchumi unaujua au unausikia?? Nenda bucha ya hapo mtaani kwenu ulizia kama nyama bado anauza kama ilivyokuwa siku zote au kiwango kimeshuka.. Hayo yote uliyoyahainisha kama kweli yangekuwa yameathiri uchumi wa nchi tayari purchasing power ingeshapungua.. Vipi kuna mtu amepaki gari nyumbani na anapanda daladala kwa kukosa pesa ya mafuta??
Mbona unakuwa mkali mi si nimeomba maeleza ya wajuzi wa mambo sasa kosa langu nini?
 
[quote uid=67846 name="Freeland" post=16840540]hahaha. ..wonders never end...hivi wewe Ndiye smartest guy kwa ccm[/QUOTE]<br />Mshauri mbowe awajengee ofisi ya chama basi,

Miaka 20 chama hakina ofisi ,hii aibu jamani .

Hivi mbowe hela ya ruzuku anapekeka wapi?? Au ndio zinalipia maandamano
 
Uchumi wa Tanzania unakua sana
Rais magufuli wetu amewanyosha mafisadi sasa wajinga kama nyie mliokuwa HAMJUI Kulipa kodi mnabaki mnaweweseka


Go on magufuli
Watanzania millions 8 na zaid tuko pamoja na wewe
Mungu ibariki Tanzania
Hizo takwimu umezifanyia chumbani kwako?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapana,

Uchumi wetu haujafikia daraja au hatua yakusema unaporomoka au utaporomoka. Hayo ni mabadiliko yanayotukuta kutokana na taratibu za kitaifa kubadilika.

>Mfano swala la :Ajira zimesimamishwa kwa mda ili kuondoa na kuziba mianya ya Wafanyakazi hewa.
>Kufwata kwa Posho. Je Si umepata taarifa ya ongezeko la vitanda pia hospitali na pia Japan kutoa msaada wa ujenzi na kuzidisja huduma wilaya za Dar (Temeke,Ilala na Kinondoni)

*Kuhusu uchumi wa Tanzania umepanda tuki tazama Dola ya marekani. Hivi leo (1USD= 2189 Tzs ) zamani tulikua na thamani inayocheza (1USD =2700 Tzs )

*Hivi leo pia utafuti wa #world_Bank (taarifa ya May 2016) unaonyesha kua uchumi wa Tanzania u anaongezeka ukiangalia na miaka ya nyuma lakini kubwa nakiri kua Watanzania wenye hali ya chini hawanufaiki na Uchumi huo, bado wana mazingira mabovu na hali mbaya ya kimaisha, . (Source World bank)

"Although Tanzania’s economy continues its strong growth, about 12 million Tanzanians still live in extreme poverty, according to the latest economic update for the country"

Tanzania Economic Update: More, Better Infrastructure, Increased Human Investment and Renewed Public-Private Partnerships Key to Poverty Reduction in Tanzania
 
Mi sina dhamira ya uchochezi ndugu bali tunawekana sawa maana hii nchi yetu sote. Sasa mtu akisema naganga njaa ili nipewe cheo siwezi kumuelewa.
Saw nimekuelewa tuendelee kueleweshana angalau na mimi nipate cha kuelewesha watu huku mtaani
 
Ukifanya comparative analysis ya kipindi cha sasa na cha tawala nyingine kwa kipindi kama hichi. Bado huu utawala umeshafanya mengi sana. Sema kuna watu tumegundua ni mabingwa wa kufanya lobbying kupinga juhudi zote zinazofanywa na Rais akati watu wenye akali wanaona mengi yana manufaa kwa taifa.
Kama uteuzi ndio mambo mengi sawa!!!
Nchi ipo kama haipo, labda kula kulala ndio hawaja tambua.
 
Umeandika siasa tu.. zaidi ya asilimia 80 ya ulivyoviandika hutaweza kuvitolea ushahidi. Bali umeandika tu kwa kusikia huko vijiweni.

Sawa kaandika bila maelezo ya kutosha ila kama umemuelewa ndo mana kaomba mchango wa mada, ukielewa hilo nadhani utaelewa pia maana ya Forum, na umo katika jamii forum ,
Siku njema .
 
Tangu mwaka huu uanze kumekuwa na mambo fulanifulani yanayoendelea hasa katika uelekeo hasi hali ambayo inatupa wasiwasi kidogo huku mtaani.

Mfano
1: Bandari kukosa kazi na wafanyakazi wa bandari kavu kuanza kupunguzwa

2. Madaktari wa interns kufutiwa posho

3. Madaktari sekta binafsi kupunguziwa mshahara kwa 30%

4. Viwanda kupunguza wafanyakazi

5. Ajira za serikali kusitishwa

6. Kuyumba kwa sekta ya utalii

7. Wanafunzi kucheleweshewa mikopo

8. Mabenki kunyang'anywa pesa za serikali, baadhi ya mabenki yanaweza kufa kwa kuwa hayakuwa na mitaji ya kutosha

8. Kudumaa kwa sekta ya usafiri wa anga

9. Biashara kuwa ngumu mitaani
10. N.k

Naomba watalamu mbalimbali watusaidie kuelewa haya yanayoendelea na nini matokeo yake baada ya miaka 2 au 3 ijayo...

Tafadhari kama huna mchango chanya bora kukaa kimya tuwape nafasi waelewa
Unahisi, huna hakika na ulichoandika. Ningekuelewa kama kila kipengele kuanzia moja mpaka mwisho ungezama kwa kutolea ufafanuzi ni vipi kitasababisha uchumi kuanguka.
Vinginevyo nyie ndo kina wale wakiulizwa umekula unawahi kusema sijashiba.
 
[quote uid=67846 name="Freeland" post=16840540]hahaha. ..wonders never end...hivi wewe Ndiye smartest guy kwa ccm
<br />Mshauri mbowe awajengee ofisi ya chama basi,

Miaka 20 chama hakina ofisi ,hii aibu jamani .

Hivi mbowe hela ya ruzuku anapekeka wapi?? Au ndio zinalipia maandamano[/QUOTE]



Mbowe kafikaje tena hapa
 
<br />Mshauri mbowe awajengee ofisi ya chama basi,

Miaka 20 chama hakina ofisi ,hii aibu jamani .

Hivi mbowe hela ya ruzuku anapekeka wapi?? Au ndio zinalipia maandamano
Mbowe kafikaje tena hapa[/QUOTE]
Anaibia ruzuku ya chama
 
Back
Top Bottom