Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,600
Ndo mana nikasema you base your thread on weak argument. Hivi taarifa ya ITV unaweza ukaitumia kama indicator ya mambo yanayoendelea? Hilo ni swala la kiuchumi zaidi na kuna many facts behind it. Ukitaka kutoa ushahidi wa mambo ya kiuchumi kupitia chombo kama ITV naomba kwanza utizame channel za kimataifa kama Bloomberg jinsi habari za kichumi zinavotakiwa ziwe. Ndo mana nikasema 80% ya ulichoandika huwezi kukitolea ushahidi.Haya tuanze kw mpangilio, namb moja ulitizama habari ya ITV juzi kuhusu bandari kavu?