Je, huu ni mwanzo wa Tanzania kuporomoka kiuchumi?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,478
2,301
Tangu mwaka huu uanze kumekuwa na mambo fulanifulani yanayoendelea hasa katika uelekeo hasi hali ambayo inatupa wasiwasi kidogo huku mtaani.

Mfano
1: Bandari kukosa kazi na wafanyakazi wa bandari kavu kuanza kupunguzwa

2. Madaktari wa interns kufutiwa posho

3. Madaktari sekta binafsi kupunguziwa mshahara kwa 30%

4. Viwanda kupunguza wafanyakazi

5. Ajira za serikali kusitishwa

6. Kuyumba kwa sekta ya utalii

7. Wanafunzi kucheleweshewa mikopo

8. Mabenki kunyang'anywa pesa za serikali, baadhi ya mabenki yanaweza kufa kwa kuwa hayakuwa na mitaji ya kutosha

8. Kudumaa kwa sekta ya usafiri wa anga

9. Biashara kuwa ngumu mitaani
10. N.k

Naomba watalamu mbalimbali watusaidie kuelewa haya yanayoendelea na nini matokeo yake baada ya miaka 2 au 3 ijayo...

Tafadhari kama huna mchango chanya bora kukaa kimya tuwape nafasi waelewa
 
Ukifanya comparative analysis ya kipindi cha sasa na cha tawala nyingine kwa kipindi kama hichi. Bado huu utawala umeshafanya mengi sana. Sema kuna watu tumegundua ni mabingwa wa kufanya lobbying kupinga juhudi zote zinazofanywa na Rais akati watu wenye akali wanaona mengi yana manufaa kwa taifa.
 
Gari limewashwa mteremkoni.
 
Uthibitisho plz
 
source?
 
Na kutoa kwako kote angalizo kuwa Kama mtu hana cha kuchangia akae kimya ila wale waumini wa mtakatifu lazima watakuja na kejeli zao kama kawaida yao...Naona wameshaanza..
Sisi ndio watanzania bwana
 
Ntakesha nikifanya hivo. Labda nikuulize tu wewe - kudumaa kwa sector ya usafiri wa anga na biashara kuwa ngumu mtaani umevipima kwa viashiria gani? Na unipe na ufanano na vipindi vilivopita.
Haya tuanze kw mpangilio, namb moja ulitizama habari ya ITV juzi kuhusu bandari kavu?
 
Mfano unaposema "mabenki yamenyang'anywa pesa na serikali" lazima unifanyie tafiti na uje na mahesabu kutoka kwenye benki zote Tanzania. Kisha uniambie serikali ilikuwa na akauti kwenye mabenki ya kibiashara zipatazo kadhaa zilizokuwa na total ya Shilingi kadhaa. Kisha usiishie hapo uende pia kwenye balance sheets za mabenki ufanye comparison ya ni kiasi gani kila benki ilipoteza kutokana na sera za serikali.

Halafu pia ntataka uniambie je ni kweli hizo deposits zote za serikali kwenye mabenki zilikuwa zinazalisha? ikiwa na maana kama zilikuwa benki za kibiashara wanazitoa kama mikopo ili wapate pato la riba?

Ndo mana nasema nikisema nikujibu kwenye hoja zote hizo ntakesha kwa sababu wengi mnaongea mambo msiyoyajua kutoka kwenye vijiwe vya kahawa. Wala hata hapa sijakujibu chochote kuhusu hii point ya benki ila nimekuonesha kwamba uache kuzungumza na kutoa declarative statements kwa vitu vya kitaalamu usivovielewa kwa kina. Over
 
Ukifanya comparative analysis ya kipindi cha sasa na cha tawala nyingine kwa kipindi kama hichi. Bado huu utawala umeshafanya mengi sana. Sema kuna watu tumegundua ni mabingwa wa kufanya lobbying kupinga juhudi zote zinazofanywa na Rais akati watu wenye akali wanaona mengi yana manufaa kwa taifa.
Sidhani kama nimeping mazuri ndio maana uzi unasema baadhi...
 
Mfano unaposema "mabenki yamenyang'anywa pesa na serikali" lazima unifanyie tafiti na uje na mahesabu kutoka kwenye benki zote Tanzania. Kisha uniambie serikali ilikuwa na akauti kwenye mabenki ya kibiashara zipatazo kadhaa zilizokuwa na total ya Shilingi kadhaa. Kisha usiishie hapo uende pia kwenye balance sheets za mabenki ufanye comparison ya ni kiasi gani kila benki ilipoteza kutokana na sera za serikali.

Halafu pia ntataka uniambie je ni kweli hizo deposits zote za serikali kwenye mabenki zilikuwa zinazalisha? ikiwa na maana kama zilikuwa benki za kibiashara wanazitoa kama mikopo ili wapate pato la riba?

Ndo mana nasema nikisema nikujibu kwenye hoja zote hizo ntakesha kwa sababu wengi mnaongea mambo msiyoyajua kutoka kwenye vijiwe vya kahawa. Wala hata hapa sijakujibu chochote kuhusu hii point ya benki ila nimekuonesha kwamba uache kuzungumza na kutoa declarative statements kwa vitu vya kitaalamu usivovielewa kwa kina. Over
Mbona unarukaruka tuanze na hilo tuliloanza nalo
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom