JE, huo ni uwezo wa shetani au shetani anasingiziwa?

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,684
Huko wilayani Busega katika Kata ya Masanza, kuna mama mmoja mjamzito alijifungua akiwa hana CHAKULA lakini alienda kukitafuta.
Yule akaenda kwa JIRANI akaiba ndizi akaanza kuchemsha, akaenda kwa JIRANI mwingine kutafuta unga.
Yule mama aliyeibiwa ndizi akaenda kwa mama aliyejifungua hakumkuta akakuta watoto akawauliza mama ameleta nini wakasema ameleta ndizi, kisha akaingia ndani akazimwaga ndizi na kumweka Mtoto mchanga kwenye sufuria na kuliweka jikoni likiwa na maji kuchemsha.
Aliporudi mama mwenye nyumba akajinyonga, punde akaja Mme wake watoto wakasimulia, akachukua panga akaenda kwa yule mama aliyeibiwa ndizi hakumkuta akawakata Kata kwa panga watoto 3 wakafa, mmoja akakimbia, akarudi akajinyonga.
Huyo mama aliyeibiwa ndizi kakamatwa. SASA WANASHERIA KIPI KIFANYIKE?
 
Acha utani kwenye uhai wa binadamu wenzio
IMG_20170213_121649.jpg
 
Back
Top Bottom