Oya kama ni mechi za hapa na pale tafuta pisi iliyowekezewa vya kutosha, t-ko big, rangi ya kulamba, ngozi ya asubuhi, na hipsi za kuzidi; FRESH.
Ila kama unaoa Kijnaangu, soma akili yake, emotional intelligence yake, na uwezo wa kusimama na wewe kwenye mapito(hayakosekani kwenye maisha). HAKUNA MWANAMKE MBAYA; kubrashiwa tu hata LAKI haiishi.
Mwanangu mmoja ameoa 10 years now; kila tukipig a story ananiambia; OYAA KOSEA KUJENGA USIKOSEE KUOA, SIE TULISHAKOSEA TUACHENI TUVUNE TULICHOPANDA. (mwamba alichagua kachubby flan hivi, tishet ya mtoto sketi ya mshangazi IMAGINE) ila kichwa DAK 5 MBELE.
Kuna jirani yangu kapoteza kazi baada ya USAID kubuma, vita iliyopo hapo ndani unaona kabisa pisi ni inataka kujikataa ila mwamba anakaza sababu ya watoto.
NB; ziko pisi kali zinajielewa, ila uwe na ubavu wa kushindana na akina mheshimiwa. Pia wapo wanawake wa kawaida tu ila akupa nafasi ya kutoboa kimaisha.
THE CHOICE IS YOURS