je hua ''unakojoa'' wakati wa kuoga?

mfilisti

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
3,641
19,275
C91mmsLUwAAavbN.jpg large.jpeg
Capture8.jpg
 
Huo ujinga tulikuwa tunaufanya kipindi tupo Sekondari miaka hiyo.

Kipindi cha baridi mkoani KLM , wakati upo bafuni unapiga maji ya baridi unajikojolea miguuni unasikia joto fulani hivi amazing.....

Basi maisha yanasonga.
 
Back
Top Bottom