Je hivi E 2G 3G 4G na H+ utofauti wake ni nini?

Technology yoyote ile lazima iwe na mabadiliko. Hivyo basi hata Mtandao wa internet kupitia vifaa/ au mobile phones imepitia mabadiliko kadha ambayo tunaita Generation au phase.

Internet/ Network ya vifaa/Mobile phones ipo katika Generation kama 5 hivi. Hapo ndo unapata 1st, 2nd, 3rd, 4th na 5th generation.

Ndio maana tuna
1G
2G
3G
4G/ LTE na
5G

Kila network ina specifications zake. Mfano Frequency, Internet speed, na mambo mengine mengine

Sasa kwa undani zaidi ukitaka kujua just google utaelewa kila network ipoje.

Hayo mambo ya H, H+ yapo ndani ya 3G. Utaona kuna namna nyingine ya kuita eg. CDMA, WCDMA, HSUPA HSPDA na nyingine.

Ndani ya iyo technology moja moja, Mf. 3G kuna Vi network tofauti kama vi 5 hivi.
HSDPA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kwa elimu hii.

Ahsante kwa madini haya.

Hizo ni technologies ambazo kila toleo huja na maboresho zaidi na ilianza na 1G. Ila kwa sasa watu wamefocus kwenye ku deal na speed ya data kuliko voice service as 2G ni very stable kwenye voice. G usimama badala ya Generation.
Kila technology inazidiana sifa kadhaa.
1. Robustness (Depends on service type data or voice).
2. Speed (Increase as technology grow up)
3. Coverage (Depend on frequency used, frequency is inverse proportional to distance)
4. Quality. (More quality on data as technology increase)
5. Power usage. (More power as data service and speed increase)
6. Device compatibility.
7. Function (Data or voice).
 
Mimi simu yangu inasoma H+ na napata network fresh sana YouTube au nikiperuzi bila wasiwasi.. Je kuna haja ya kuamia 4g au 5g Ikiwa naona H+ ipo poa tu.
Mimi nashangaa hawa NASA wana 91 GB
Sasa sijui hiyo speed ikoje

Sent from my SM using Tapatalk
Mkuu ni kawaida hata kina voda wanazo hizo speed sema hawakupi mtu mmoja yote wanatugawia kidogo kidogo.

Mfano dar nzima kuna wateja 100,000 na kila mtu anapewa mbps kadhaa unafkiri speed ya Voda ipoje?

Cable za chini ya bahari zinapitisha internet kwa speed hadi terabyte 60 kwa sekunde. Hivyo hio 91gbps ni ndogo sana, labda useme vile ni satelite internet maana hii nature yake ipo slow.

TTCL wana huduma hata ukitaka speed inayozidi 100Gbps wanakupa cheki hapa
MPLS VPN | TTCL
 
Hebu nieleweshe kidogo hapo maana USA Broadband connection speed ni 6.6 megabits per second
Ambapo ya NASA inaweza ku transfer 91,000 megabits per second
Hapo ni mara 13,000 ya speed ya kawaida

Sina utaalamu wa haya ila nimesoma tu yaliyoandikwa
Hebu dadavua zaidi hapo mkuu

Maana yangu ni hii,

Speed anayopewa mteja ni ya rejareja, mtandao wa simu unakuwa na speed ya jumla,

Voda anaweza akawa na speed ya 1gbps kwenye cell yake kisha akaigawa mara 1000 kwa wateja 1000 na wakapata 1mbps kila mtu. Sababu wewe unapata 1mbps nyumbani haimaanishi eti na speed ya voda ni 1mbps.

Nimekupa link hapo juu ya TTCL hata ukitaka 100gbps unaekewa ni hela yako tu.

Na marekani 6mbps ni ndogo sana average broadband yao ni zaidi ya 90mbps.
 
Sasa mkuu kwani Toyota Noah namba B na C ni model moja?
Tena namba C inaweza kua new model na namba B ikawa old model, chukulia mfano gari imetumika zenji wee, halafu ikaletwa bara kusajiriwa upya si itakua na namba D?
Nadhani umeelewa namba sio ubora si upya bari ni kuingia kwenye mfumo wa usajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom