Technology yoyote ile lazima iwe na mabadiliko. Hivyo basi hata Mtandao wa internet kupitia vifaa/ au mobile phones imepitia mabadiliko kadha ambayo tunaita Generation au phase.
Internet/ Network ya vifaa/Mobile phones ipo katika Generation kama 5 hivi. Hapo ndo unapata 1st, 2nd, 3rd, 4th na 5th generation.
Ndio maana tuna
1G
2G
3G
4G/ LTE na
5G
Kila network ina specifications zake. Mfano Frequency, Internet speed, na mambo mengine mengine
Sasa kwa undani zaidi ukitaka kujua just google utaelewa kila network ipoje.
Hayo mambo ya H, H+ yapo ndani ya 3G. Utaona kuna namna nyingine ya kuita eg. CDMA, WCDMA, HSUPA HSPDA na nyingine.
Ndani ya iyo technology moja moja, Mf. 3G kuna Vi network tofauti kama vi 5 hivi.