KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Kukosolewa ni vizuri lakini wengi wetu huona ni kama tasnifa na inajenga uhasama mkuu.sasa bila kukosolewa unajifunzaje kukosolewa ni lazima aisee wala hakuna haja ya kuchukia ukikosolewa ni elimu tosha mi jf huwa inanifunza mambo kibao