Je, Hili sio bomu nataka kulipuliwa?

Je, Hili sio bomu nataka kulipuliwa?

Umetegeshewa kiulaaaiiiiiini nawe ukaingia kingiii...hahahah safi sana wanawake mnajua kucheza na akili za wanaume
 
Habari wanajamii,

Naomba mawazo yanu, nipo na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini nilipokuwa nikimshauri kuhusu kufanya tendo la sexual ananikatalia, huniruhusu niichezee baadhi ya sehemu tu za mwili wake, ni siku moja tu ndio aliyoniruhusu kuingiliananae kimwili(sexual) lakini baada ya siku kazaa ananiambia amebeba ujauzito wangu,

Naomba mawazo yanu JE HILI SIO BOMU NATAKA KULIPULIWA?
Mar 27 2016, ndo umejoin, tayari umeishaanza kupost utumbo? Tulia kwanza dogo kwanza hata kuandika hujui, unaandika kama mtoto wa mdogo wangu anayesoma Shule ya Msingi Kikono kijijini. Angalia pale nilipobold ndo ujue
 
kams huna mtoto hata wa kusingiziwa kubali huyo shauri yako utakufa bila mtoto
 
Wanaume wa mikoani kwa staili hii tutahamia Dar kupata shule kidogo,
Unavyoonekana tu sidhan kama kulikuwa na namna nyingine zaid ya kushikishwa
 
kapime ngoma huenda umelipukiwa na bomu tayari
 
mpeleke hospital apimwe then dokta akwambia ujauzito huo ni wa mda gani then kumbuka na siku aliyokubali kusex hapo ndo utapata jibu sahihi kama umri wa ujauzito unaendana na tarehe husika au lah. na kama haziendani mwambie ukweli na vunja mahusiano hayo
 
Kama kwel haujala mzigo dah hilo ni bom kubwa sana, bora usepe mapema.
 
Mar 27 2016, ndo umejoin, tayari umeishaanza kupost utumbo? Tulia kwanza dogo kwanza hata kuandika hujui, unaandika kama mtoto wa mdogo wangu anayesoma Shule ya Msingi Kikono kijijini. Angalia pale nilipobold ndo ujue
Umefahamuje nilichokiandika?
 
1462636275324.jpg
 
Back
Top Bottom