Je, Hili sio bomu nataka kulipuliwa?

Je, Hili sio bomu nataka kulipuliwa?

We kubali ushanasa maana mashine si umekula!!...na mimba huwa ni mara moja tu mdau.
Inawezekana ikawa yako au demu anakusukumia msala,kama vipi mkemia mkuu ahusike!.
Ni afadhali aniambie nimsaidie hela ya abotion kirafiki #naweza nikamuelewa lakini sio kunipa mtoto mwenye baba yake
 
Usikurupuke kufanya maamuzi. Nenda nae Hosp, mkapime ujauzito huo una mda gani. Ukiona hauwiani na mda mliozini basi wewe c muhucka.
Mimi nahisi yupo na rambo anataka kuniuwa, leo mimba sawa, kesho nahisi atakuja na ngoma
 
Lilipue ilo bomu..!fanya utafiti yaani mchunguze ili ujue ukweli wa mambo.
 
Hujui mlifanya uzinzi lini?
Nenda mkapime, ujue mimba ina muda gani?!
Kama ni yako usimkimbie dada wa watu.
Jiandae kuitwa baba, Kama umepanga chumba kimoja, muda wa kuongeza idadi ya vyumba umefika.
 
Hujui mlifanya uzinzi lini?
Nenda mkapime, ujue mimba ina muda gani?!
Kama ni yako usimkimbie dada wa watu.
Jiandae kuitwa baba, Kama umepanga chumba kimoja, muda wa kuongeza idadi ya vyumba umefika.
Nitajaribu kufatilia mda mfupi ikiwezekana #lakini inauma sana kulea mtoto wa mwenzako
 
Sasa kwanini kama mimi ndio mpenzi wake alikuwa ananibania? Na muda aliotaka yeye ndio ananiletea mtoto?
Hahahaa..kwani unadhan mimba inaingia mkifanya mara kumi. Pengine hakuamini au anatunza ' adabu' yake mpaka mfunge ndoa
 
Habari wanajamii,

Naomba mawazo yanu, nipo na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini nilipokuwa nikimshauri kuhusu kufanya tendo la sexual ananikatalia, huniruhusu niichezee baadhi ya sehemu tu za mwili wake, ni siku moja tu ndio aliyoniruhusu kuingiliananae kimwili(sexual) lakini baada ya siku kazaa ananiambia amebeba ujauzito wangu,

Naomba mawazo yanu JE HILI SIO BOMU NATAKA KULIPULIWA?
Kwani wewe unapootesha mahindi unaotesha mara ngapi katika shimo moja ndipo uvune kwa msimu mmoja. Ukipata jibu njoo uulize swali lako hapa.
 
Habari wanajamii,

Naomba mawazo yanu, nipo na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini nilipokuwa nikimshauri kuhusu kufanya tendo la sexual ananikatalia, huniruhusu niichezee baadhi ya sehemu tu za mwili wake, ni siku moja tu ndio aliyoniruhusu kuingiliananae kimwili(sexual) lakini baada ya siku kazaa ananiambia amebeba ujauzito wangu,

Naomba mawazo yanu JE HILI SIO BOMU NATAKA KULIPULIWA?
Mkuu si ulilazimisha kugegeda?? Hayo ndo matunda yake...hakuna cha bomu wala fataki...jipange kulea tu..
 
Back
Top Bottom