LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,692
- 13,317
Wakuu kwa mara ya kwanza Video ya diamond platnumz kuweka youtube imepata dislikes
nyingi zaidi ya likes
Nyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya wiki ina watazamaji laki tano na cha kushangaza watu 9k ndio wameilike na watu 11k wameidislike na sio kitu cha kawaida hadi Diamond kaamua kublock watu kulike na kudislike kwenye youtube yake
Je hili ni anguko la Diamond?
nyingi zaidi ya likesNyimbo mpya ya diamond platnumz aliyoshirikisha Tiwa savage...FIRE ndani ya wiki ina watazamaji laki tano na cha kushangaza watu 9k ndio wameilike na watu 11k wameidislike na sio kitu cha kawaida hadi Diamond kaamua kublock watu kulike na kudislike kwenye youtube yake
Je hili ni anguko la Diamond?

