Je hili linawezekana?

babe S

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
3,879
20,853
Habari zenu, nimekuwa nikipita hapa kama guest for long nimepata jambo linalonitatiza nikaona nililete hapa:
In short mimi ni mschana mwenye miaka 25 mpaka kufkia umri huu nimepitia mahusiano mengi ya kuumiza na kufurahisha ila sijawah kupata Mtu aliye ready Kuwa kwenye mahusiano bila sex nilidhan labda nikipata Mtu aliye tiar kunioa atakuwa tayari kusubiri hadi baada ya ndoa nimesubiri invain, nimepata kijana he says he wants to marry me ila naye anataka, imenfikisha mahali pa kuuliza je inaweza kana kupata uhusiano aw bila sex? Au ni give up?
 
Mahusiano kabla ya sex ulitakiwa uzingatie kabla ya kuanza kujichanganya.

Kuhusu huyo mchumba wala usishangae, siku hizi wengine wanataka kuhakikisha kwamba mpaka mimba unaweza kubeba kabla ya kufanya chochote. . . usanii umekua mwingi sana!
 
mmmh wa kukusubir had muoane mamie hayupo uku dunian kbss... si washinda misikitin wala makanisan.
woooote huwa wanademand io ki2 dia wangu achia 2 mzigo ila achia kwa step.
 
Mahusiano kabla ya sex ulitakiwa uzingatie kabla ya kuanza kujichanganya.

Kuhusu huyo mchumba wala usishangae, siku hizi wengine wanataka kuhakikisha kwamba mpaka mimba unaweza kubeba kabla ya kufanya chochote. . . usanii umekua mwingi sana!
Kwa kweli hata mi na wish ningekuaga sijajichanganya, ila I guess its late, n Asante kwa mchango
 
Then you should never have had sex in the first place. Or are you a virgin?
I am ashamed to say I'm not, ila kuna time I chose to start afresh na ndo nikaamua kua nipate Mtu aliye tayari kusubiri
 
olewa kwa sababu una sababu mathubuti ya kuolewa sio desparation

hata huyo anaweza akakamua na kuondoka.
Usimlazimishe mtu akuoe hadi wote muwe mmeridhiana kuoana
 
Inawezekana kabaisa,tupo tusio na tamaa sana ya kuomba mizigo,sema wewe tu hujaamua kututafuta so ntafute ili uamini
 
Wanaume wachache sana wanakurupuka kuoa wanawake kama we! Wanaotak mpaka ndoa! Kwa dunia ya sasa hivi Wanawake hawaaminiki na Usanii umezidi, na hii inatokea pale ambapo kesi nyingi zinajitokeza pale Inapogundulika kuwa..

1. Ulitaka ukae bila sex na yeye, halafu asikukute Bikra. Kwahyo kwa wengine ulitoa kwake ulimnyima. Conclusion ni kwamba humpendi.

2. Ulikataa kutoa sex,kwasababu unataka kuonekana mwanamke uliyekamilika kumbe WAPI.. na unataka Ndoa ili ikulinde,may be mwanzo ulikosea. Sasa inapokupotea makosa yakaibuka ndo hapo unakuja tena na matatizo ya ndoa hapa. Na kuonekana Wanaume si watu kumbe kosa si lao.

3. Wanaume wanaojua mapenzi huwa pia wanataka mwanamke anaejua mapenz si Gogo kwenye 6*6. Kwahyo wanahakikisha unayaweza kitandani. Hiki ni kigezo kikubwa cha kutangaza ndoa.

Conclusion:
Wanaume wanaamini kuwa mwanamke anaetaka kufanya sex baada ya ndoa kwamba ANAMAPUNGUFU, ingawa si wote, inawezekana hazai na mengineyo. Na pia unaweza kujiuliza Kwanin siku ya ndoa wanawake wengi huolewa wakiwatayari wanamzigo(mimba).. ??? KWAHIYO FUNGUKA MAMIE.
 
I am ashamed to say I'm not, ila kuna time I chose to start afresh na ndo nikaamua kua nipate Mtu aliye tayari kusubiri

Kwa nini unajionea aibu kuwa huko "virgin"? Kumbuka kuwa huo ni mwili wako na una haki ya kufanya unavyotaka. Je huyo anayetaka kukuoa naelewa kuwa huko virgin?

Ikiwa haelewi mweleze alielewe hilo, kwani anaweza kufikiria kukataa kwako kufanya naye ni kwa sababu hiyo. Sasa siku mnaamua kufunga ndoa akigundua huko virgin, unafikiria hiyo ndoa itaishia wapi?

Sikushauri utoe tu kwa sababu untaka kuolewa, wala huyo jamaa asitake tu kwa sababu kaahidi kukuoa. Ndoa kwa sasa ni hatua ya mwisho katika mahusiano, bora uhakikishe/mhakikishe kuwa kweli mnapendana.

Unaweza kuolewa siku chache ndoa ikavunjika ikiwa hakuna mapenzi, na mnaweza kuishi daima milele bila ya ndoa ikiwa mnapendana.

Kila la heri.
 
Mkuu naona umeshanisemea tayari, ila naongezea na kusisitiza tu awe muwazi likija suala la la historia yake kimapenzi. Na usikubali kutoa mzigo kirahisi maana baada ya mda itakuwa kila anaekuja japo ni mdanganyifu unampa mzigo, na hilo litakuja kukukosti mbeleni na utajutia.

Kwa nini unajionea aibu kuwa huko "virgin"? Kumbuka kuwa huo ni mwili wako na una haki ya kufanya unavyotaka. Je huyo anayetaka kukuoa naelewa kuwa huko virgin?

Ikiwa haelewi mweleze alielewe hilo, kwani anaweza kufikiria kukataa kwako kufanya naye ni kwa sababu hiyo. Sasa siku mnaamua kufunga ndoa akigundua huko virgin, unafikiria hiyo ndoa itaishia wapi?

Sikushauri utoe tu kwa sababu untaka kuolewa, wala huyo jamaa asitake tu kwa sababu kaahidi kukuoa. Ndoa kwa sasa ni hatua ya mwisho katika mahusiano, bora uhakikishe/mhakikishe kuwa kweli mnapendana.

Unaweza kuolewa siku chache ndoa ikavunjika ikiwa hakuna mapenzi, na mnaweza kuishi daima milele bila ya ndoa ikiwa mnapendana.

Kila la heri.
 
I am ashamed to say I'm not, ila kuna time I chose to start afresh na ndo nikaamua kua nipate Mtu aliye tayari kusubiri

uko sawa sis! maamuzi yako yanaongeza utu/dignit kwako coz ukitaka kuridhisha matakwa ya kila mwanaume ili uolewe itakua ni utumwa wa kutaka kuolewa na si mapenzi! Omba Mungu utapata unayemtaka! coz wapo wanaume wenyekuelewa mtazamo wako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom