Je hili linawezekana?

kaka kuliwa ushaliwa sana,mpe jamaa tu kama ulivyowapa wengine ila fanya kweli kijana aweweseke then atangaze ndoa
 
olewa kwa sababu una sababu mathubuti ya kuolewa sio desparation

hata huyo anaweza akakamua na kuondoka.
Usimlazimishe mtu akuoe hadi wote muwe mmeridhiana kuoana
Thank u sana
 
Inawezekana kabaisa,tupo tusio na tamaa sana ya kuomba mizigo,sema wewe tu hujaamua kututafuta so ntafute ili uamini
Haha mnasema hivi mkiwa mnawinda Mtu akikubali tu request ya kwanza ni hiyo
 
Kwa nini unajionea aibu kuwa huko "virgin"? Kumbuka kuwa huo ni mwili wako na una haki ya kufanya unavyotaka. Je huyo anayetaka kukuoa naelewa kuwa huko virgin?

Ikiwa haelewi mweleze alielewe hilo, kwani anaweza kufikiria kukataa kwako kufanya naye ni kwa sababu hiyo. Sasa siku mnaamua kufunga ndoa akigundua huko virgin, unafikiria hiyo ndoa itaishia wapi?

Sikushauri utoe tu kwa sababu untaka kuolewa, wala huyo jamaa asitake tu kwa sababu kaahidi kukuoa. Ndoa kwa sasa ni hatua ya mwisho katika mahusiano, bora uhakikishe/mhakikishe kuwa kweli mnapendana.

Unaweza kuolewa siku chache ndoa ikavunjika ikiwa hakuna mapenzi, na mnaweza kuishi daima milele bila ya ndoa ikiwa mnapendana.

Kila la heri.
Asante, nimekupata, ubarikiwe
 
utaanzaje safari bila kujua uzima wa gari lamza ugonge tairi kwanza upate uhakika ndo safari ianze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom