Je, hiki ni kiama cha ATM machine?

Yaani nchi zote ambazo bajeti ya kuendesha nchi asilimia kubwa tu zinategemea wafadhili na zina kopakopa na madeni kibao zitalazimishwa kuingia humo zitake zisitake na curreny itakuwa moja dunia nzima. Digital currency. Naona mmeanza kuelewa sasa. Hizi mada zipo humu JF watu wamebisha sana. Na utawala utakuwa mmoja dunia nzima. Hiyo ni indicator tu.
Msabato katika ubora.
 
Uku kwetu bado Sana.....

Wakati MAREKANI wameanza kuTumia ATM mwaka 1963.

Huku Bongo zimeanza kuingia Miaka ya 2000

Kwaiyo Apo DIGITAL currency, jumlisha Miaka 40 mbele.
 
Uku kwetu bado Sana.....

Wakati MAREKANI wameanza kuTumia ATM mwaka 1963.

Huku Bongo zimeanza kuingia Miaka ya 2000

Kwaiyo Apo DIGITAL currency, jumlisha Miaka 40 mbele.
Digital currency ni kama M-pesa inavyofanya kazi..

Let's not get twisted
 
Ni maendeleo mazuri ila yalishatabiriwa kitambo kwa bible ,kwa sis scriptures geeks tunajua next move baada ya hio digital currency
 
Back
Top Bottom