Quruxbadan
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 232
- 80
Habarini zenu wana MMU Hope muwazima na weekend inawaendea poa! Actually kilichonisukuma kuweka huu uzi ni mawazo nliokua nao, Hope mtanisaidia kwa hili.Mimi nna tabia moja ambayo sielewi kama ni nzuri au mbaya, na itanicost vp Hua nikitoka out na marafiki especially wa kiume hua mimi nalipa bili, yani ndo nilivyo, no matter if ni rafiki tu ama ndugu as am currenly not dating, lazma nilipe mimi, nisipofanya hvyo sitojiskia vizuri na roho yangu haitakua na amani au labda tulipe nusu kwa nusu. Niwaulize nyie wanaume how do u fill when a woman pays the bill. Je mnahisi ni poa tu au mnahisi as if amekudharau kiaina flani Je hii tabia niiache au vp?? I dnt want to disrespect any1!
Sio mbaya kama baba yako ni regnald mengi lakini kama sie tabia mbaya!
...aise ntafurahi...japo na mi ntachangia lakini at least inakuwa sio km wanawake wengine wanafanya km wanatukomoa hivi...ntpanga siku nkutoe basii lol
Habarini zenu wana MMU
Hope muwazima na weekend inawaendea poa!
Actually kilichonisukuma kuweka huu uzi ni mawazo nliokua nao,
Hope mtanisaidia kwa hili.
Mimi nna tabia moja ambayo sielewi kama ni nzuri au mbaya, na itanicost vp
Hua nikitoka out na marafiki especially wa kiume hua mimi nalipa bili, yani ndo nilivyo, no matter if ni rafiki tu ama ndugu as am currenly not dating, lazma nilipe mimi, nisipofanya hvyo sitojiskia vizuri na roho yangu haitakua na amani au labda tulipe nusu kwa nusu.
Niwaulize nyie wanaume how do u fill when a woman pays the bill. Je mnahisi ni poa tu au mnahisi as if amekudharau kiaina flani
Je hii tabia niiache au vp??
I dnt want to disrespect any1!
Jina tu linajieleza mkuu
nitumie namba yako pm....unahitaji ushauri very serious
Habarini zenu wana MMU
Hope muwazima na weekend inawaendea poa!
Actually kilichonisukuma kuweka huu uzi ni mawazo nliokua nao,
Hope mtanisaidia kwa hili.
Mimi nna tabia moja ambayo sielewi kama ni nzuri au mbaya, na itanicost vp
Hua nikitoka out na marafiki especially wa kiume hua mimi nalipa bili, yani ndo nilivyo, no matter if ni rafiki tu ama ndugu as am currenly not dating, lazma nilipe mimi, nisipofanya hvyo sitojiskia vizuri na roho yangu haitakua na amani au labda tulipe nusu kwa nusu.
Niwaulize nyie wanaume how do u fill when a woman pays the bill. Je mnahisi ni poa tu au mnahisi as if amekudharau kiaina flani
Je hii tabia niiache au vp??
I dnt want to disrespect any1!
Mi nafurahi kichizi tatizo masimango sasa! Panapo hali ngumu, mnafungukaje!