Unafanya kazi???? Hii ndio nafasi ya pekee ya wewe kutoka hapo kwenu ila kama ni kula kulala sahau kuruhusiwa kwenda kupanga subiria mwewe aje akunyakue mkaanze maisha huko
Kwa uzoefu wangu mtoto wa kike kwenda kupanga anajipunguzia nafasi ya kupata husband material wanaume wengi wanakasumba yakuona binti akipanga basi amepangishwa na shugadady nawao wanakua wanachapa wanasepa wanajua unakibabu chako.
Ni sawa wao ndio wanakujua vizuriSio sawa lakini
Sawa, lakini mzazi ni mzazi amekuambia usiondoke just obeyKwangu nalichukulia tofauti
Kama unajitegemea,kupanga ndio kukua kwenyewe,lakini kwa msichana kunaihitaji nidhamu sana,kwako kusiwe gheto kwa wadada wasioeleweka....kila la kheri.
Basi kuna kitu unakipigania sio bure pambana labda watakuelewaNamheshimu sanasana tu ila kwenye hili hapana
Nionavyo mimi kuhama nyumbani inahitaji very strong reasons otherwise hawatakurelease.
Kama una dada zako wakubwa ama kama mama mnaelewana waambie vizuri.
Kua wewe ni binti umekua haupo comfortable sana kukaa nyumbani unahitaji kujitegemea na kujijenga
na kujifunza kufanya maamuzi yako.
Ila kama umepata mtu seious waambie tu wajue ili wakupe uhuru naohitaji labda hutahama ila ukichelewa hutaulizwa