Itakuwa vyema kama utakuwa na tp. Au tumia udongoMaeneo mengine hakuna maji( abiria wanapochimba dawa). Wanaume tuanze kutembea na toilet papers.
Itakuwa vyema kama utakuwa na tp. Au tumia udongoMaeneo mengine hakuna maji( abiria wanapochimba dawa). Wanaume tuanze kutembea na toilet papers.
Na Mimi nilisha shake na wewe kwenye harusi moja hivi, wakati natoka kushake chooni na wewe unaelekea huko, remember me?Wakitoka hapo wana shake hands na wewe, baadavya hapo una nunua vitumbua unakula. Ndiyo maana Tanzania tunapendana sana
Kuna shida gani kama huwa mnanyonya na mnasemaga wenyewe koni sa ushaona mtu anaosha koni ndo aleWakitoka hapo wana shake hands na wewe, baadavya hapo una nunua vitumbua unakula. Ndiyo maana Tanzania tunapendana sana
Kama wewe ni ME jibu unalo. Kama ni KE haikuhusu!Kwa wanaume wote, imekua kawaida sana baada ya kujisaidia haja ndogo, tunatikisa (shake) uume kama ndio njia ya kujisafisha au kutoa mkojo unaobaki.
Je, hii ndio njia sahihi au?
Kwa hiyo kwa akili yako hii hufanyika Tanzania tu eti??Wakitoka hapo wana shake hands na wewe, baadavya hapo una nunua vitumbua unakula. Ndiyo maana Tanzania tunapendana sana
Uume ni miongoni mwa sehemu ambazo zikishikwa lazima unawe mikono hata kama hujakojoauume hauna uchafu wowote. hata ukiushika then ukalambe mkono.
Lazima nikushike mkono tu hatupo Japan ila system ya Japan makini Sana unabaki na magonjwa yako no kushikana mikonoWakitoka hapo wana shake hands na wewe, baadavya hapo una nunua vitumbua unakula. Ndiyo maana Tanzania tunapendana sana
Mbonaa na nyie wadada huwa mna zi ice cream???Wakitoka hapo wana shake hands na wewe, baadavya hapo una nunua vitumbua unakula. Ndiyo maana Tanzania tunapendana sana
Nimekupata vizuri sana mkuu.Mie ndio maana huwa simshiki mtu mkono natoa 5 tuu
Ila sie watoto wa kiislamu tumefundishwa kuikosha tunapomaliza kukojoa na kunawa vizuri.
Mawe utayaandaa kabla ya kukojoa. Ni lazima uzingatie baadhi ya mambo kabla ya kukojoa na haifai kukojoa hovyo hovyo si kidini tu bali hata kistaarabu. Usikojoe chini ya mti wa kivuli, usikojoe jalalani, usikojoe pembeni ya shimo wala usikojoe sehemu ngumu ambayo itafanya 'cheche za mkojo kukurukia' mwilini mwakoKustanji kwa mawe matatu..unayatolea wapi
Kustanji kwa mawe matatu..unayatolea wapi
umenifurahisha sana kwenye sentensi yako ya mwishoWakitoka hapo wana shake hands na wewe, baadavya hapo una nunua vitumbua unakula. Ndiyo maana Tanzania tunapendana sana
Umenifurahisha bestWakitoka hapo wana shake hands na wewe, baadavya hapo una nunua vitumbua unakula. Ndiyo maana Tanzania tunapendana sana
Watanawa saa ngapi wakati wanakojoa kila popote na wakati wowoteKwa kweli sifahamu hao wa ulaya ila ninasisitiza Hawa wa Kwamtogole wanawe kwa kutumia maji na sabuni