Je hii ni moja ya kazi za trafiki?

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Kutokana na medereva wengi kutokujua haki zao wawapo barabarani je ni haki kwa trafiki kunyofoa number plate, kukunyang'anya ufunguo au kum'beba ndani ya gari yako hadi kituoni? Ningeomba msaada wa sheria za barabarani na nadhani zitawasaidia wanaJF wengine wasiojua haki zao
 
Sio haki wa trafiki kukunyanganya hayo uliyahahinisha hapo juu, ni makosa kisheria wanachotakiwa ni kukueleza makosa yako na wewe kwenda kituoni kwa wakati mtakaokubaliana.
Ila my town mate Preta jitahidi kujifunza sheria za barabarani fasta dada yangu
 
itabidi maana kuna mmoja leo kaniboa sana....kamfuata mtu mpaka parking sokoni kaenda kunyofoa number plate hii ilinishangaza kidogo
 
Back
Top Bottom