Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Kosa lake ni ukilaza wa kushindwa kujumulisha hesabu ndogo kama hii!Kosa la princess ni lipi sasa hapo?
Ni kweli mkuu!huyu baba ni mbumbumbu....
Ungemkodishia watu wamfanye nini?Waalimu bana ningemkodishia watu huyo
Mkuu busara iko wapi?Huyo baba ovyooo mie huyo nae ningemtangwa kisawa sawa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kwa hiyo atakuwa ni mwanachama wa timu gani ya mpira hapa bongo?huyu baba ni mbumbumbu....
mbona kashika ukuni badala ya fimbo
Kosa la princess ni lipi sasa hapo?
Huyo sio baba usimsingizie ...!