Je, hii ina madhara gani katika mahusiano?

Je, hii ina madhara gani katika mahusiano?

My respect kwa mke mtarajiwa "abarikiwe kuwa mzazi mwema" na Mkuu Chakii Uwe baba na kiongozi mwadilifu !!
Good Luck

Aisee mkuu nazipokea shukrani zako kwa mikono miwili.

Hakika Mungu ni muaminifu, naamini atakuwa chaguo langu.
 
Sisi wanaume sijui hata tunataka nn,tukiombwa sie tunalalamika mpaka baasi tukiomba sie tunajiuliza!kama unamashaka basi usimwambiege shida zako.vingininevyo we muamini tu kwani imanai inajenga ukumwamini kwa mtazamo hasi mara nyingi huwa hivyo na kwa mtazamo chana huwa hivyo pia.

Ahsante...
 
Sasa hapa angekua mwanaume anaelezea mkewe huwa anamuomba hela hivyo....

Tungeyaoga.
 
Siyo siku zote mkuu, nashukuru kwa ushauri

Ila nawe jiongeze basi, siku moja moja ukizipata nawe mpe.
Atakuchoka, yani upewe wewe tu, zako kutoa hujui. Ipo siku atakupa swali utasema mapenzi basi.
 
Ila nawe jiongeze basi, siku moja moja ukizipata nawe mpe.
Atakuchoka, yani upewe wewe tu, zako kutoa hujui. Ipo siku atakupa swali utasema mapenzi basi.

kama umeusoma uzi vyema utagundua nimejibu maelezo yako yote.
 
chakii

Aiseee mkuu unanyota ya mapacha nin huyu manzi inabidi umtunze kama mboni ya jicho mpk anakusaidia huyu ni jembe sio kwamba nataka kukuambia upende vya mserereko hapana bali ukikaa na mtu kama huyu kwenye maisha kama sio mjinga basi utapata changamoto fulani za kutafuta pesa kama dada yetu miss chagga...

. jipange sana broo ukitaka mfike mbali mfanyie suprize ya vitu vikubwa mfano beby nimenunua shamba la eka kumi babati nataka kujaribu kulima hata yeye atafurahi sana kuona na wew unapigana mana leo hawezi sema nimechoka kukusaidia lakin siku ya siku ikifaka mkuu utafungasha viragoo boss
 
Last edited by a moderator:
kama umeusoma uzi vyema utagundua nimejibu maelezo yako yote.

Nimesoma yote kwamba ukijaribu kumpa huwa anakataa.

Ndio ujiongeze. Nawe mpe, kuna namna tofauti.
Anyway... usiku mwema.
 
Aiseee mkuu unanyota ya mapacha nin huyu manzi inabidi umtunze kama mboni ya jicho mpk anakusaidia huyu ni jembe sio kwamba nataka kukuambia upende vya mserereko hapana bali ukikaa na mtu kama huyu kwenye maisha kama sio mjinga basi utapata changamoto fulani za kutafuta pesa kama dada yetu miss chagga.... jipange sana broo ukitaka mfike mbali mfanyie suprize ya vitu vikubwa mfano beby nimenunua shamba la eka kumi babati nataka kujaribu kulima hata yeye atafurahi sana kuona na wew unapigana mana leo hawezi sema nimechoka kukusaidia lakin siku ya siku ikifaka mkuu utafungasha viragoo boss

Mkuu ushauri wako ninautendea kazi, very touchable

siyo kwamba nimepumbaZwa na msaada wake la hasha, yapo mambo mengi makubwa zaidi ya fedha anazonisaidia ikifika wakati nitamshirikisha, she is still under a study.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma yote kwamba ukijaribu kumpa huwa anakataa.

Ndio ujiongeze. Nawe mpe, kuna namna tofauti.
Anyway... usiku mwema.

Asante mkuu, usiku mwema pia na kwako..
 
Mkuu ushauri wako ninautendea kazi, very touchable

siyo kwamba nimepumbaZwa na msaada wake la hasha, yapo mambo mengi makubwa zaidi ya fedha anazonisaidia ikifika wakati nitamshirikisha, she is still under a study.

All the best kaka mkuu
 
kawaida tu mwanamke mwenye heshma na upendo kusaidia msaada unapohitajika ni kawaida na kama unampenda unataka kuishi nae kama mkeo usianze kutengeneza mazingira ya kuti muamini au kutojiamini mwenyewe hayo ndo yanaeza kuua mahusiano yenu.lakin sio kusaidiana wakati wa shida z jus a normal thing
 
Madeni yanakuandama? Wha kind of a man????? Anyway umenichekesha sana dah
 
Back
Top Bottom