Je, hii ina madhara gani katika mahusiano?

mkuu mademu wa dizaini hizo wachache sana aisee..haijalishi hiyo pesa anayokupa inatoka wapi..ila mpaka kufanya hivyo ina maana anakupenda..so usimwangushe..cha msingi ni ww kuchakarika mzee..usiridhike kuwa tegemezi..mbebaji nae huchoka

Dah nashukuru sana mkuu, Mungu asaidie tufikie malengo...
 
Uwe unakopa kwingine na kujitahidi kutumia pesa vzr. Sisi wanawake wengine tunajitolea sana. Ila ikizidi huwa tunaona u r weak
 
Ahsante kwa ushauri mkuu, katika maisha tusaidiane...
 
Eeeeeeeeh! Watu mna bahati ila hamjui kuzitumia huyo ni wa kumuweka ndani kuwa mama wa watoto wako, duuuuuuubhhhh yani naona kama uongo
 
chakii

Mpe namba yangu huyo mpenz wako nataka nimsifie
 
Last edited by a moderator:
Eeeeeeeeh! Watu mna bahati ila hamjui kuzitumia huyo ni wa kumuweka ndani kuwa mama wa watoto wako, duuuuuuubhhhh yani naona kama uongo

Mkuu huu ni ukweli mtupu wala siyo masihara....
 
Mbaya sana kukosa hela na ukawa na mahusiano. Hapo ndio ile sheria ya 50/50 huhusika maana hauna za kutosha kuilisha familia na huna mbele wala nyuma. Mwanaume ukikosa hela unatafuta
 
Bado hatujafikia kuwa na familia mkuu, ahsante kwa ushauri wako
 
Wapo wanawake wenye moyo kama huyo, japo huwezi jua mtu anafikiria nini kichwani kwake, ila wapo anatoa kwa mapenzi ya dhati, na wala hawezi kuleta magumashi hapo baadae. Isipokuwa sasa, kumbuka wewe ni mwanaume na mume ndie mtafutaji, unapaswa kujibiidisha ukiwa muombaji kupita maelezo utamboa, kusaidiana kupo ila usiwe tegemezi na kujiachia. Kuna wanaume wengine wakiona hivyo basi natake advantage ya kujinufaisha.

Jibiidishe ili usiwe mwombaji kupita kiasi, pia nakushauri wakati mwingine ukiwa na shida jaribu kuomba hata kwa wanaume wenzio ili uepushe kumuomba mara kwa mara mpenzi wako, mbona simple even mimi mwenyewe tu, nikijiona naomba kwa mtu mara kwa mara, kuna hatua simuombi na natafuta msaada mahala pengine, yani naona aibu, so wewe binafsi hujisikii aibu fulani hivi.
 
Sasa miaka 3 yote na unahongwa tu, ufikirii kuwa huyo mke ambae atakuwa msaidizi mzuri kwako....???
 
Siyo kuhongwa miaka mitatu, umenukuu vibaya mkuu....

Hata hivyo hanihongi ananisaidia pale ninapokwama
 
Wapo wanawake wenye moyo kama huyo, japo huwezi jua mtu anafikiria nini kichwani kwake, ila wapo anatoa kwa mapenzi ya dhati, na wala hawezi kuleta magumashi hapo baadae. Isipokuwa sasa, kumbuka wewe ni mwanaume na mume ndie mtafutaji, unapaswa kujibiidisha ukiwa muombaji kupita maelezo utamboa, kusaidiana kupo ila usiwe tegemezi na kujiachia. Kuna wanaume wengine wakiona hivyo basi natake advantage ya kujinufaisha.

Jibiidishe ili usiwe mwombaji kupita kiasi, pia nakushauri wakati mwingine ukiwa na shida jaribu kuomba hata kwa wanaume wenzio ili uepushe kumuomba mara kwa mara mpenzi wako, mbona simple even mimi mwenyewe tu, nikijiona naomba kwa mtu mara kwa mara, kuna hatua simuombi na natafuta msaada mahala pengine, yani naona aibu, so wewe binafsi hujisikii aibu fulani hivi.

Ahsante nimekuelewa mkuu...
 
swali langu kwako chakii ni ili unaweza kumkemea huyo mwanamke pindi akikosea? maana kiukweli bila kuwakemea wanawake hamfiki.

Mokoyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom